KKKT KUANZISHA MFUKO WA MAFAO KWA WATUMISHI WAKE
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Dodomainakusudia kuanzisha mfuko kutoa mafao maalumu kwa Watumishi wake baada ya kustaafu kazini.Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Dodoma,...
View ArticleBENKI YA DAMU NYANDA ZA JUU KUSINI KUKUSANYA LITA 400
Lita 400 za damu zinatarajiwa kukusanywa na Benki ya Damu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, kutoka kwa wachungaji 800 wanaounda Baraza la Waangalizi la Kanisa la Tanzania Assemblies of God...
View ArticleMAGEREZA YAPATA LESENI 102 ZA KUCHIMBA KOKOTO, CHOKAA
Jeshi la Magereza limepata leseni 102 za uchimbaji wa madini ya ujenzi katika maeneo mbalimbali ya magereza nchini. Madini ambayo jeshi hilo litafanya uchimbaji ni pamoja na chokaa, mawe, kokoto,...
View ArticleVETA SASA YAGEUKIA AJIRA SEKTA YA GESI
Mamlaka ya Elimu Tanzania (VETA) imesema imeanza kuboresha baadhi ya mitaala yake ili kuwezesha wanafunzi wake kupata ajira katika sekta za gesi na mafuta zilizogundulika hivi karibuni nchini.Mtaalamu...
View ArticleLHRC, TLS WANG'ANG'ANIA KESI DHIDI YA PINDA
Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia...
View ArticleTANZANIA YAZIPITA KENYA, UGANDA MITAJI YA UWEKEZAJI
Tanzania imetajwa kuongoza katika Afrika Mashariki kwa kuwa nchi yenye mitaji mikubwa ya uwekezaji. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni matokeo ya juhudi za kujenga mazingira mazuri ya uwekezaji, zinazofanywa...
View ArticleASILIMIA 30 YA WATAHINIWA NBAA WAFAULU
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imesema asilimia 30.2 ya watahiniwa waliofanya mitihani ya Bodi wamefaulu.Wengine asilimia 40.8 watarudia masomo waliyoshindwa, huku asilimia...
View ArticleACHINJWA KIKATILI MBELE YA MKWE WAKE MPANDA
Mkazi wa Kijiji cha Mwamkulu wilayani Mpanda, Suzana Kingi (40), ameuawa kikatili na watu wasiofahamika kwa kuchinjwa akiwa katika chumba alicholala, huku mkwe wake akishuhudia. Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleBALOZI WA LIBYA AJIUA KWA RISASI OFISINI KWAKE DAR
Aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amekufa, baada ya kujipiga risasi.Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam, imeeleza...
View ArticleHIVI NDIVYO JAMBAZI ALIVYOSHAMBULIA BASI LA MAGEREZA
Basi la Magereza linalobeba mahabusi na wafungwa, jana lilishambuliwa kwa risasi na jambazi na kusababisha askari wawili na mahabusi mmoja kujeruhiwa. Shambulio hilo lilifanyika saa 7:50 mchana katika...
View ArticleMWAKYEMBE AWATIMUA KAZI WATUMISHI WA WIZARA TATU
Watumishi 13 wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wametimuliwa kazi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kwa tuhuma za kuchafua sura ya nchi mbele ya jumuiya...
View ArticleNEMC KUONDOA MINARA YA SIMU KWENYE MAKAZI YA WATU
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema linaanza kupitia miradi mbalimbali, ikiwemo minara ya mawasiliano ya simu iliyojengwa kwenye makazi ya watu.Lengo ni kuihamisha...
View ArticleSTRABAG KUFUNGA BARABARA YA KAWAWA - MOROCCO
Kampuni ya Strabag International GmbH inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha...
View ArticleJESHI LASEMA HAKUNA KURUTA ANAYEKUFA MAFUNZO YA JKT
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekanusha taarifa zilizosambazwa kuwa vijana wa mujibu wa sheria, wanaoendelea na mafunzo katika kambi za JKT, kuwa wanakufa kwa ukatili.Hayo yalisemwa jana na Msemaji...
View ArticleMALKIA WA SWAZILAND AIPA SEKONDARI SHILINGI MILIONI 5
Mke wa Mfalme wa Swaziland, Malkia Nomsa Matsebula ameipatia Shule ya Sekondari ya Wama-Nakayama iliyopo Kijiji cha Nyamisati wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, zaidi ya Sh milioni tano kusaidia...
View ArticleWATAHINIWA WA KUJITEGEMEA KIDATO CHA SITA KUJISAJILI
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) imefungua milango ya kujisajili kwa watahiniwa wa kujitegemea, wanaopenda kufanya mtihani wa Kidato cha Sita Mei mwakani. Ofisa Habari wa Necta, John Nchimbi...
View ArticleMJI MKONGWE ZANZIBAR UPO HATARINI
Mji Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa.Hali hiyo inatokana na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika kwenye miundombinu...
View ArticleTANZANIA YATAMANI AMANI IREJEE NCHINI SYRIA
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema Tanzania inatamani kuona hali ya utulivu na amani inarejea Syria na nchi kuendelea kujenga uchumi.Kauli hiyo aliitoa jana wakati alipokutana na Balozi...
View Article