Article 6
Mshambuliaji wa Ujerumani, Andre Schuerrle akiifungia timu yake bao la kwanza huku kipa wa Algeria, Rais M’Bohli akiruka bila mafanikio katika mechi ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana. Ujerumani...
View ArticleArticle 5
Kipa wa Nigeria, Vincent Enyeama akikodolea macho mpira uliopigwa na Paul Pogba (hayupo pichani) ukitinga wavuni wkati wa mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora uliochezwa jana. Nigeria ilichapwa...
View ArticleArticle 4
Wachezaji wa Algeria akifarijiana mara baada ya kumaliza kwa mechi yao ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora dhidi Ujerumani iliyochezwa jana. Ujerumani ilishinda mabao 2-1 na kutinga Robo Fainali.
View ArticleDI MARIA STRIKES DRAMATIC LATE WINNER AS ARGENTINA SEE OFF SWITZERLAND
Argentina's forward and captain Lionel Messi (L) and Argentina's midfielder Angel Di Maria celebrate after scoring the 1-0 during a Round of 16 football match between Argentina and SwitzerlandAngel Di...
View ArticleArticle 2
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi (juu) akimpongeza mwenzake Angel Di Maria baada ya kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya Uswisi katika dakika ya 118 na hivyo kuwapeleka katika robo fainali ya...
View ArticleArticle 1
Wachezaji wa Argentina wakipongezana baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uswisi katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora iliyochezwa kwenye Uwanja wa Corinthians, mjini Sao...
View ArticleCHEKA TARATIBU
Mzee mmoja kaenda mjini kumtembelea mwanae wa kiume ambaye ndio kwanza ametoka kufunga ndoa na binti mmoja. Siku moja mzee huyo alikuwa mezani na mkwe wake (mke wa kijana wake) wakipata chakula cha...
View ArticleVODACOM YASAIDIA KITUO CHA YATIMA SHILINGI MILIONI 10
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii wa Vodacom Foundation imetoa Sh milioni 20 ili kusaidia miradi ya ushonaji na ufugaji inayotarajiwa kuanzishwa na...
View ArticleMAJAMBAZI WALIOUA SISTA KATOLIKI WATIWA MBARONI
Jeshi la Polisi kanda ya Dar es salaam limewakamata majambazi sugu nane ambao wanatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ya ujambazi na wawili kati wamehusishwa na tukio la kuuwawa kwa mtawa lililotokea...
View ArticleTRA YADALIANA NA WENYE VITUO VYA MAFUTA KUHUSU EFDS
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema iko kwenye majadiliano na wadau wa vituo vya mafuta nchini, ili kuangalia namna bora ya kufunga mashine za kieletroniki za utoaji risiti kwenye pampu za vituo...
View ArticleWAWILI WAFARIKI DUNIA MATUKIO TOFAUTI
Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es salaam.Katika tukio la kwanza lililotokea Juni 30 saa 12 asubuhi huko barabara ya Bagamoyo eneo la Tegeta gari isiyofahamika...
View ArticleBREAKING NEWS!!! MAJAMBAZI WASHAMBULIA KWA RISASI BASI LA MAHABUSU
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba watu wenye silaha wanaoaminika kuwa ni majambazi wamelishambulia kwa risasi basi lililokuwa limebeba mahabusu maeneo ya Mikocheni, jijini Dar es...
View ArticleArticle 5
Meneja Rasilimaliwatu na Utawala wa Kampuni ya Aramex Tanzania limited, Jane Njagi (kushoto) akielezea jinsi kampuni yake ilivyoamua kuwasaidia Bonnah Education Trust kwa kuwadhamini kuahikikisha...
View ArticleArticle 4
Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya WEFA ya Ujerumani wakitoa sadaka ya unga, mchele, sukari na mafuta ya kupikia kwa watu mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa...
View ArticleArticle 3
Maznat Yusuph Sinare akimpaka vipodozi mmoja wa warembo kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya OriFlame wakati wa maonesho ya bidhaa mpya yaliyofanyika ukumbi wa Zanzibar kwenye Hoteli ya Hyatt...
View ArticleArticle 2
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Maxcom Africa Limited, wakati alipotembelea banda lao mapema leo mchana katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara...
View ArticleVIWANJA VYA MAONESHO SABASABA VYATAKIWA KUJENGWA UPYA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametembelea Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara na kueleza kutoridhishwa na ubora na mvuto wa eneo la maonesho. Amesema umefika wakati eneo hilo, Viwanja vya...
View Article