Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

STRABAG KUFUNGA BARABARA YA KAWAWA - MOROCCO

$
0
0
Kampuni ya Strabag International GmbH  inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo  haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha ujenzi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, imesema watumiaji wa barabara ya Kinondoni kuelekea Morocco na Magomeni wanashauriwa kutumia barabara ya Togo kupitia Karago kama njia mbadala.
Aidha  wale wanaotokea Morocco au Kawawa kuelekea Kinondoni Makaburini wanashauriwa kutumia barabara ya Mtama.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Trending Articles