Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4580 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI ATAKA CHATO KUACHA MALUMBANO YA KISIASA

Mbunge wa Chato, Dk John Magufuli ameasa wananchi kuepuka malumbano na kuweka mbele itikadi za vyama, badala yake washirikiane kujenga jimbo hilo. Magufuli ambaye ni Waziri wa Ujenzi, alisema hayo jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AMKARIBISHA MWANA MFALME WA JAPAN

Rais Jakaya Kikwete amemkaribisha Ikulu, Dar es Salaam, Mwana wa Mfalme wa Japan, Prince Akishino pamoja na mkewe Princess Akishono.Mwana Mfamle huyo ambaye anatembelea Tanzania, alifanya mazungumzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZALISHAJI UMEME IPTL SASA WAFIKIA MEGAWATI 100

Uzalishaji umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100,  ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake.Kiwango hicho kilifikiwa Juni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKO LA BIDHAA GHAFI KUNUFAISHA WAKULIMA

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Reginald Mengi  amesema ukombozi wa upatikanaji wa masoko ya mazao ya wakulima ni uanzishwaji wa soko la bidhaa ghafi ambalo litawasaidia wakulima kujua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAITI ZA WATOTO ZAOKOTWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI

Watoto watatu wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea jijini Dar es Salaam, akiwemo mtoto mchanga aliyetupwa kando ya barabara katika eneo la Kigogo Sambusa.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYANDA ZA JUU KUSINI WAONGOZA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI

Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi nchini yamepungua hadi kufikia asilimia 5.1 kwa mwaka 2011/2012  ambapo asilimia 6.2 ni wanawake na asilimia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 5,000 WAONDOLEWA KATIKA AJIRA MBAYA ZANZIBAR

Jumla ya watoto 5,000 wameondolewa katika ajira mbaya Unguja na Pemba ikiwemo za kugonga kokoto na kupasua miamba ya mawe ya kutengeneza matofali  katika mradi unaotekelezwa na Shirika la Save Children...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JELA MIEZI SITA KWA KUMVUNJA MGUU MKEWE

Mkazi wa Kijiji cha Nyasoro wilayani  Rorya mkoani Mara, Ernest  Zabron (60) amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la kumpiga mkewe  Esther Ernest (42) kwa rungu na kumvunja mguu wake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA 60 WANUSURIKA KIFO AJALI YA IGUNGA

Abiria 60 wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi katika kijiji cha Makomero wilayani Igunga mkoani Tabora  juzi. Akizungumza na waandishi wa habari,  Kamanda wa Polisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANI 200,000 ZA MAHINDI KUUZWA NCHINI KENYA

Serikali imeingia mkataba na Kenya wa kuuza mahindi tani 200,000. Shughuli hiyo itaanza ndani ya wiki mbili zijazo.Hayo yameelezwa jana  na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AHIMIZA MAKAMPUNI KUTANGAZA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezitaka kampuni za kitalii nchini kutangaza utalii na vivutio vyake ndani na nje ya nchi  ili kuwapa wananchi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA KAIMU BALOZI WA LIBYA WASAFIRISHWA KURUDI KWAO

Mwili wa Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat (39), umesafirishwa jana kwenda Libya na shirika la ndege ya nchi hiyo.Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka Ofisi ya Mawasiliano ya Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGOGO CHUO CHA UHASIBU KORTINI, YUMO MKUU WA CHUO

Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakituhumiwa kwa makosa manne tofauti yakiwemo ya uhujumu uchumi na kuisababishia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHEKHE WALIPULIWA NA BOMU WAKILA DAKU ARUSHA

Wakati Waislamu wakiwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, watu wasiojulikana juzi walivamia nyumba ya Mkurugenzi wa Kanda ya Kaskazini wa Taasisi ya Kiislamu ya Answar Muslim Youth Centre, Shekhe Soud...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI - JULAI 05

     

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 17

Mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain akipiga shuti kuifungia timu yake bao dhidi ya Ubelgiji katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia inayoendelea kwenye Uwanja wa Nacional, nchini Brazil....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

Mwonekano wa sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuiingiza kwenye mzunguko hivi karibuni. Noti ya thamani hiyo maarufu kama 'jero' itaendelea kutumika huku utaratibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kwenye kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Sehemu ya wafanyabiashara wajasiriamali kutoka Tanzania wakionesha bidhaa zao kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda yanayofanyika mjini Ndola, Zambia.

View Article
Browsing all 4580 articles
Browse latest View live