Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPENZI WASHITAKIWA KWA KUKAA UCHI UFUKWENI...

KUSHOTO: Ufukwe wa South Carolina. JUU: Kyle Martin Schnoebelen. CHINI: Jasmine Kim Walton.Wapenzi wamekamatwa katika ufukwe wa South Carolina baada ya polisi kuwabamba wakiwa hawajavaa nguo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WOTE 'ROHO KWATU' BAJETI YA MIUNDOMBINU...

Kikao cha Bunge mjini Dodoma.Wabunge wameipongeza Serikali kwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa barabara kote nchini kwa ufanisi mkubwa, huku Rais Jakaya Kikwete akipongezwa kwa kutafuta fedha za ujenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI ASIMULIA BISKUTI ZILIVYOMWOKOA SIKU 17 CHINI YA KIFUSI CHA JENGO...

KUSHOTO: Reshma Begum akiwa kitandani hospitalini. KULIA: Jengo hilo lilipokuwa likiporomoka huku watu wakishuhudia.Mwanamke ambaye aliokolewa baada ya siku 17 kutoka chini ya kifusi cha jengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Babu mmoja alikuwa kajipumzisha chini ya mti huku mjukuu wake akiwa anafua nguo zake za shule kando yake. Mara babu akainuka ghafla na kumwambia mjukuu wake: "Manase jifiche mwalimu wako huyo anakuja,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE ATAKA BUNGE LIVUNJWE KWA KUSHINDWA MAJUKUMU...

John Cheyo.Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo (UDP), amesema kama Bunge limeshindwa kuliokoa Taifa na matatizo ya uvunjifu wa amani nchini, kiasi cha kufikia kumtukana Rais, halina budi kuvunjwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAOMBOLEZAJI WATIMUA MBIO MSIBANI BAADA YA 'MAITI' KUAMKA KWENYE JENEZA...

Waombolezaji katika msiba nchini Zimbabwe walipigwa na butwaa pale mtu aliyekufa alipoamka wakati wakipita kando ya jeneza lake kutoa heshima za mwisho, shirika la habari za nchi hiyo limeripoti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA KATIBA RUKSA KWENDA KORTINI KUZUIA MCHAKATO...

Jaji Joseph Warioba.Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema haizuii mwananchi, asasi au taasisi kufungua kesi mahakamani kupinga au kuzuia mchakato unaoendelea wa Katiba Mpya.Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSICHANA ASIMULIA ALIVYOBAKWA NA KUDUNGWA SINDANO ZA HEROIN...

KUSHOTO: Chumba cha nyumba ya kulala wageni mjini Oxford ambacho kilitumika kwa unyama huo. JUU: Mohammed Karrar. CHINI: Bassam Karrar.Mateso kwa mmoja wa waathirika yalianza baada ya kuhaha kwa udi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOA TAMKO KUHUSU POMBE ZA KWENYE 'VIROBA'...

Wizara ya Viwanda na Biashara itakaa na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wengine kuchambua na kujadili athari zinazodaiwa kusababishwa na pombe kali maarufu kama viroba kabla ya kutoa tamko.Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUBANI ABADILI UELEKEO WA NDEGE SABABU YA 'GIZA TOTORO' UWANJA WA NDEGE...

Kisiwa ambacho ndege hiyo ilikuwa itue hapo.Ndege ya Ryanair ilibadili uelekeo maili 200 kufikia uwanja mwingine wa ndege mbali na kituo cha mwisho wa safari yake kwenye kisiwa cha mapumziko nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Mama mmoja wakati akisubiria chakula chake kipoe, ghafla akasikia mgeni akipiga hodi mlangoni. Kwa jinsi alivyo mchoyo akaficha chakula uvunguni mwa kochi na kwenda kufungua mlango. Katikati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA AMKUBALIA ASKOFU NOBERT MTEGA KUSTAAFU...

Askofu Nobert Mtega.Baba Mtakatifu Francis amekubali ombi la Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Norbert Mtega (68), kustaafu katika utume wa kuongoza jimbo hilo.Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPELELEZI WA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR HAUJAKAMILIKA...

Mabaki ya ghorofa hilo lililoporomoka makutano ya Mitaa ya Indira Gandhi na Morogoro.Upelelezi wa kesi ya kuua bila kukusudia, kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAFUTA MWEKEZAJI KATIKA TRENI YA UBUNGO...

Abiria wakiwa wamepanga foleni kukata tiketi za treni hiyo.Baada ya Serikali kubuni na kufanikiwa kuanzisha na kuendesha usafiri wa treni jijini Dar es Salaam, sasa inajipanga kubinafsisha usafiri huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YAANGUKA IKIJARIBU KUTUA MILIMANI...

Waokoaji wakishughulikia kuwatoa majeruhi wa ajali hiyo.Ndege moja imeanguka wakati ikijaribu kutua kwenye uwanja ulioko milimani huko kaskazini mwa Nepal mapema jana, na kujeruhi watu wote 21...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA KATIBA LANYWEA, SASA LAIFAGILIA TUME YA WARIOBA...

Deus Kibamba.Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba, amekiri kwamba Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, haijawahi kutokea katika michakato ya nyuma ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZUNGUKA DUNIA MIAKA MIWILI KWA KUTUMIA PIKIPIKI YA VESPA...

KUSHOTO: Akiwa ameegesha pikipiki yake aina ya Vespa mjini Punjab. KULIA: Drew Milne akishangilia mwisho wa safari yake.Mwendesha pikipiki amemaliza miaka miwili ya kushangaza, safari ya maili 10,000...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Jamaa watatu walikamatwa na bangi huko China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurejea na matunda kumi kila mmoja. Wa kwanza akarejea na machungwa. Akaambiwa ameze moja-moja, akashindwa na kupigwa...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live