Mama mmoja wakati akisubiria chakula chake kipoe, ghafla akasikia mgeni akipiga hodi mlangoni. Kwa jinsi alivyo mchoyo akaficha chakula uvunguni mwa kochi na kwenda kufungua mlango. Katikati ya maongezi, yule mgeni akaona moshi ukitokea uvunguni na kuhoji kulikoni? Yule mama kwa kujiamini akajibu: "Utayaweza mapanya ya humu ndani kwa mibangi yao!!" Kasheshe...
↧