MZAHA WA LEO...
*************************Kidogo halali ni bora kuliko kingi haramu!!*************************
View ArticleBINTI ALIYEZURURA UCHI AKIWA KAVAA KOFIA KAMA PAPA ASHITAKIWA...
Katherine B. O'Connor akifanya dhihaka zake.Mwanafunzi mmoja wa kike wa Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon ameshitakiwa Ijumaa kwa hali ya uvunjaji heshima na polisi wa kampasi baada ya Askofu Katoliki...
View ArticleASKOFU AAMURU UCHUNGUZI BINAFSI KUHUSU KASHFA YA UDHALILISHAJI WATOTO...
Dk John Sentamu.Askofu wa York ameamuru uchunguzi binafsi kuhusiana na madai dhidi ya aliyekuwa Paroko wa Kanisa Kuu la Dayosisi.Dk John Sentamu alisema Kanisa hilo la England linachukulia madai ya...
View ArticleWILFRED RWAKATARE KUPANDISHWA TENA KIZIMBANI LEO...
Wilfred Rwakatare.Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare leo anapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kufutiwa mashitaka...
View ArticleWILSON MASILINGI ATEULIWA BALOZI MPYA UHOLANZI...
Wilson Masilingi.Hatimaye Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake ya kufungua ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi, kwa kumteua mbunge na waziri wa zamani, Wilson Masilingi kuiwakilisha nchi katika...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mlevi mmoja alikuwa akipita karibu na mkutano wa injili. Mara akasikia mhubiri akisema: "Walevi na wenye dhambi wote watakwenda motoni." Mlevi bila kuchelewa akajibu: "Poa tu. Na nyinyi mkipewa mahindi...
View ArticleMAWAZIRI WATATU MADOKTA WAWEKWA KWENYE 'KIKAANGO'...
Mawaziri (kutoka kushoto) Dk John Magufuli, Dk Abdallah Kigoda na Dk Harisson Mwakyembe.Mawaziri watatu wenye taaluma za udaktari, John Magufuli, Abdallah Kigoda na Harrison Mwakyembe, wiki hii...
View ArticleHATIMA YA WATUHUMIWA WA BOMU KANISANI ARUSHA KUJULIKANA LEO...
Hali ilivyokuwa eneo la tukio mara baada ya kulipuka kwa bomu hilo.Hatima ya watuhumiwa 12 wa tukio la kurusha bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Olasiti mkoani Arusha, wanaoshikiliwa...
View ArticleSHAHIDI ADAI WAZIRI NTAGAZWA ALIJIFICHA BAFUNI ASIKAMATWE...
Arcado Ntagazwa.Sajenti Albogasti Kashaija (40), ameieleza Mahakama kuwa Waziri wa zamani, Arcado Ntagazwa, anayekabiliwa na mashitaka ya kujipatia mali za Sh milioni 74.9 kwa njia ya udanganyifu...
View ArticleNDEGE YATUA KWA DHARURA BAADA YA MWANAMKE KUGOMA KUACHA KUIMBA...
Askari wakimdhibiti mwanamke huyo ndani ya ndege.Rubani wa American Airlines alilazimika kutua kwa dharura ndege hiyo baada ya abiria mmoja kugoma kuacha kuimba wimbo uliotamba wa Whitney Houston wa 'I...
View ArticlePOLISI 16 WAINGIA MATATANI KWA TUHUMA ZA KUSHIRIKI MAGENDO...
Kamanda Suleiman Kova.Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inawashikilia askari wake 16 wa vyeo mbalimbali, kwa tuhuma za kushiriki na kuendekeza mtandao wa wafanyabiashara wa magendo.Magendo hayo...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Wendawazimu wawili walianzisha shule chini ya mti. Siku moja wakamkuta mwenzao juu ya mti. Wakamuuliza kulikoni naye akajibu kwa kujiamini: "Niko HIGH SCHOOL!!" Kasheshe...
View ArticleWILFRED RWAKATARE NA WENZAKE WAKOSA DHAMANA...
Wilfred Rwakatare akiwa ndani ya basi la mabahusu.Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare na mshitakiwa mwenzake Ludovick Joseph, wameendelea kusota rumande, baada ya ombi lao la...
View ArticleIKULU YATAKA WANANCHI KUPUUZA KAULI ZA SLAA...
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu.Wananchi wameaswa kupuuza kauli ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akimtuhumu Rais Jakaya Kikwete kuwa alisambaza sumu wakati wa kampeni za...
View ArticleMARUBANI WAADHIBIWA KWA KUACHA NDEGE IKIJIONGOZA HUKU WAKIPIGA PICHA NA...
KUSHOTO: Mmoja wa marubani hao akiweka pozi la picha na mrembo huyo. KULIA: Mrembo Ly Nha Ky.Marubani wawili wameadhibiwa baada ya kudaiwa kupiga picha na mrembo mmoja ndani ya chumba cha marubani...
View ArticleDEREVA WA BODABODA ASOMEWA MASHITAKA YA MAUAJI BOMU LA KANISANI ARUSHA...
Kamanda Liberatus Sabas.Wakati mtuhumiwa wa mlipuko wa bomu kanisani Arusha, Victor Ambrose (20), akifikishwa mahakamani raia wanne kutoka nchi za Kiarabu, waliokamatwa kwa tuhuma hizo hizo wameachiwa...
View ArticleTANESCO SASA KUSAMBARATISHWA, WASHINDANI SASA MILANGO WAZI...
Moja ya ofisi za Tanesco.Serikali iko kwenye mpango wa kulifumua na kuliboresha zaidi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ili kuondokana na utegemezi wa shirika moja linalozalisha, kusambaza na...
View Article