Babu mmoja alikuwa kajipumzisha chini ya mti huku mjukuu wake akiwa anafua nguo zake za shule kando yake. Mara babu akainuka ghafla na kumwambia mjukuu wake: "Manase jifiche mwalimu wako huyo anakuja, si hujaenda shule leo!" Mjukuu akajibu: "Jifiche wewe, maana jana niliomba ruhusa kwamba umekufa!" Duh...
↧