Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4598 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOZEMBEA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 'KUONJA JOTO YA JIWE'...

Mizengo Pinda.Serikali imeahidi kuwajibisha watendaji watakaobainika kwenda kinyume katika uingizaji wa mfumo mpya wa usahihishaji mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012, ambao matokeo yake yamefutwa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NOAH SASA RUKSA KUBEBA ABIRIA KWA MASHARTI...

Gari aina ya Noah.Baada ya kilio cha muda mrefu cha baadhi ya wasafirishaji, Serikali imeruhusu magari aina ya Noah kubeba abiria nchini.Serikali imeiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANAYETUHUMIWA KUBAKA MWANAFUNZI TAABANI KWA KIPIGO NA KULISHWA SUMU GEREZANI...

Mtuhumiwa huyo akitolewa gerezani ndani ya gari maalumu chini ya ulinzi mkali.Mmoja wa wanaume wanaoshitakiwa kwa shambulio baya zaidi la ubakaji wa kundi dhidi ya mwanafunzi ndani ya basi amepigwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'JESHI MAALUMU' SASA KUKABILI UJANGILI WA WANYAMAPORI...

Mmoja wa tembo waliouawa na majangili.Katika kukabiliana na ujangili kwa wanyamapori nchini, Serikali imeanza mchakato wa kuanzishwa kwa Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania itakayokuwa mithili ya `jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA SHULE YA MSINGI SASA KUWA MIAKA 10...

Baadhi ya wanafunzi moja ya Shule za Msingi hapa nchini wakiwa darasani.Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo nchini inapendekeza kuunganisha elimu ya msingi na sekondari ya kawaida ya sasa ili kuunda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Baba mmoja alinunua roboti maalumu kwa lengo la kudhibiti tabia ya uongo katika familia yake. Ni kwamba mtu akisema tu uongo basi roboti linamtandika vibao dakika hiyo hiyo. Siku moja baba akamuuliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAALAMU WA TIBA YA UREMBO AFA KWA KUNYWA SUMU AKIDHANI POMBE...

Cheznye Emmons enzi za uhai wake.Mtaalamu wa tiba ya urembo wa Uingereza amefariki dunia baada ya kunywa pombe iliyowekwa sumu wakati akifanya safari ndefu katika msitu mnene nchini Indonesia.Cheznye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHUO UALIMU WATIMULIWA BAADA YA KUDUNGWA MIMBA WAKISAKA MAJI...

Imeelezwa kuwa, uhaba wa maji katika Chuo cha Ualimu Murutunguru wilayani Ukerewe, umesababisha athari kadhaa kwa wanachuo, ikiwa ni pamoja na matukio ya ujauzito kwa wanachuo wa kike.Hayo yalibainika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MOYO TANZANIA AFARIKI DUNIA...

Dk Ferdinand Masau.Mtaalamu wa magonjwa ya moyo ambaye pia alikuwa anamiliki Taasisi ya Magonjwa ya Moyo nchini (THI), Dk Ferdinand Masau, amefariki dunia.Habari ambazo mwandishi alizipata jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YALAZIMIKA KUTUA KWA KUSOTA BAADA YA MABURUDUMU KUGOMA...

Ndege hiyo baada ya kutua.Ndege ya US Airways ikiwa na abiria 34 ndani yake ililazimika kutua kwa kusota kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Newark baada ya kupata matatizo katika mfumo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUKA KONGWE LENYE MIAKA 600 SASA HATARINI KUUZWA...

JUU: Postamasta Richard Gates akiwa mbele ya duka hilo. KUSHOTO: Duka hilo baada ya kufanyiwa  ukarabati miaka takribani 50 iliyopita. KULIA: Duka hilo enzi hizo.Limekuwa hapo kwa miaka 600, lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINTI ATOROKEA UINGEREZA KUKWEPA KUOLEWA NA MFALME MSWATI III...

KUSHOTO: Tintswalo Ngobeni. KATIKATI: Sherehe za kimila ambapo Mfalme huchagua mke kati ya wasichana hao. KULIA: Mflame Mswati III.Msichana mdogo ameomba hifadhi ya ukimbizi nchini Uingereza baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA 15 MBARONI KWA KUCHOMA MAKANISA...

Moja ya makanisa yaliyochomwa moto mjini Unguja.Polisi inawashikilia watuhumiwa 15, wanaodaiwa kuchoma moto Kanisa la Bethania lililoko eneo la Donge katika Mkoa wa Tanga, Ijumaa iliyopita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AZINDUKIA CHUMBA CHA MAITI BAADA YA AJALI ILIYOTEKETEZA FAMILIA NZIMA...

Eisa akiwa amepakatwa na baba yake mkubwa, Shazada Hayat.'Mtoto wa miujiza', ambaye alinusurika kwenye ajali ya gari ambayo iliua watu watano wa familia yake, alifungiwa kwenye mfuko wa kubebea miili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA LA KKKT ARUSHA SASA WAFIKIA MUAFAKA...

Hatimaye mgogoro wa uongozi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Arusha, umeanza kupata muafaka, baada ya Halmashauri Kuu ya Dayosisi kutengua amri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI MSIGWA AKAMATWA VURUGU ZA MACHINGA IRINGA...

KUSHOTO: Mchungaji Peter Msigwa. KULIA: Machinga wakilisukuma gari la mbunge huyo eneo la tukio jana.Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) amekamatwa na Polisi, na leo atafikishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YARIDHIA SHERIA YA KUSIMAMIA VYOMBO VYA HABARI...

Dk Fenella Mukangara.Kutokana na kushamiri kwa vitendo vya vyombo vya habari kukiuka na kutozingatia maadili ya taaluma ya habari, serikali imesema sasa imeridhia kutungwa kwa Sheria ya Kusimamia...

View Article
Browsing all 4598 articles
Browse latest View live