SERIKALI YAOMBWA KUDHIBITI USAMBAZAJI WA MAZIWA
Serikali imeshauriwa kusimamia na kutilia mkazo ipasavyo Sheria ya Maziwa ili kuzuia usambazaji holela na hivyo kusaidia uzalishaji wa maziwa katika viwanda nchini.Usambazaji holela wa maziwa kwa kiasi...
View ArticleWANAWAKE WAJASIRIAMALI WAMVUTIA MAMA SALMA
Mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete juzi alitembelea Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' na kueleza kuwa amefurahishwa na juhudi zinazofanywa na wajasiriamali hasa...
View ArticleMAKANDARASI WASIO NA UWEZO KUPIGWA JEKI
Makandarasi nchini wanaoshinda zabuni mbalimbali za ujenzi lakini hawana uwezo wa kuwa na mashine za kisasa, watakodishwa mashine hizo na Kampuni ya Aydin Logistics.Kampuni hiyo ya mwekezaji kutoka...
View ArticleTACAIDS YASEMA UNYANYAPAA BADO NI TATIZO KUBWA
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imesema unyanyapaa bado ni tatizo kubwa nchini, kuwezesha kufikia sifuri tatu mwakani, kama ilivyo katika mkataba wa Umoja wa Mataifa.Kwa mujibu wa...
View ArticleWAKULIMA, WANUNUZI WACHAKACHUA PAMBA ILI KUONGEZA UZITO
Wakulima wa zao la pamba na wanunuzi wa zao hilo, wamekuwa ni chanzo cha kudhoofisha zao hilo, hivyo kushindwa kuingia katika ushindani wa soko.Imedaiwa kuwa baadhi ya wakulima wamekuwa wakiweka...
View ArticleNSSF YAANZISHA FAO LA KIFO KWA WATANZANIA WALIO NJE
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeanzisha fao la kifo kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi, ambapo pia wategemezi wao wanne waliopo nchini, watanufaika nalo.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano...
View ArticleMAASKOFU WATAKIWA KUJADILI NJIA BORA ZA USIMAMIAJI MAADILI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka maaskofu kujadili njia bora zaidi ya kusimamia maadili ya vijana, kufuatia nchi kukabiliwa na changamoto ya mmomonyoko wa maadili.Alisema hayo jana katika hotuba...
View ArticleMAGUFULI KUZINDUA KIVUKO DALADALA ZIWANI MWANZA
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza na Mara.Katika ziara hiyo anatarajiwa kukagua na kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na...
View ArticleAFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA MKOKOTENI WA NG'OMBE
Mwanafunzi wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Galanzala wilayani Iramba, amekufa papo hapo baada ya kugongwa na mkokoteni wa kuvutwa na ng'ombe, uliokuwa ukiongoza na baba yake mlezi.Kamanda wa...
View ArticleKIKWETE KUPAMBA JUBILEI YA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya miaka 75 ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), yatakayofanyika Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa...
View ArticleUBORA WA BIDHAA ZA TANZANIA WAONGEZEKA MAONESHO SABASABA
Rais Jakaya Kikwete ametembelea Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Sabasaba kwa na kusema ameridhishwa na ubora wa bidhaa za Tanzania ulivyoongezeka, ikiwa ni pamoja na ufungashaji wa kisasa.Alisema kwa...
View ArticleSEKONDARI DAR YAGEUZA WIKIENDI KUWA SIKU ZA MASOMO
Wanafunzi wa Shule ya Seminari ya Kiislamu ya Mivumoni jijini Dar es Salaam, husoma kwa siku tano kama kawaida, lakini `wikiendi’ yao huwa siku za Alhamisi na Ijumaa. Hii ina maana kuwa siku za masomo...
View ArticleNEYMAR TOLD MARCELO: "I CAN'T FEEL MY LEGS"
Brazil talisman Neymar feared he was paralysed shortly after the knee in the back that ended his World Cup.Neymar was ruled out of the tournament last Friday when he was hit in the lower back during an...
View ArticleDJOKOVIC WINS EPIC TUSSLE WITH FEDERER
Novak Djokovic claimed a second Wimbledon title after coming out on top in an extraordinary battle of wills against seven-times winner Roger Federer, eventually triumphing 6-7(7) 6-4 7-6(4) 5-7 6-4 in...
View ArticleWAFANYABIASHARA NCHINI WASHAURIWA KUTUMIA '.TZ'
Wafanyabiashara na wamiliki wa kampuni nchini, wameshauriwa kutumia rajisi ya ‘.tz ‘ kujitangaza na kupunguza wimbi la uhalifu wa mitandao.Utumiaji wa rajisi hiyo, umeelezwa kuwa na manufaa makubwa...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA SHILINGI MILIONI 25 KWA ZAHANATI
Kampuni ya Bia Tanzania TBL imekabidhi hundi ya Sh milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa kisima kikubwa cha majisafi na salama katika zahanati ya Makuburi.Zahanati hiyo ipo katika mtaa wa Mwongozo kata ya...
View ArticleTANAPA WAOMBA CHUO CHA UTALII KUCHANGIWA FEDHA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Allen Kijazi ameshauri wadau wa Sekta ya Utalii kuanzisha harambee kuchangia fedha kwa ajili ya kukisaidia Chuo cha Taifa cha Utalii,...
View ArticleWAHALIFU 1,694 WATUMIKIA VIFUNGO VYA NJE
Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini imesema kuna wahalifu 1,694 wa vifungo vya nje, ambao wanaoendelea kutumikia adhabu zao katika taasisi mbalimbali za umma katika mikoa 18 nchini hadi kufikia Juni...
View Article