$ 0 0 Mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain akipiga shuti kuifungia timu yake bao dhidi ya Ubelgiji katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia inayoendelea kwenye Uwanja wa Nacional, nchini Brazil. Hadi mapumziko Argentina inaongoza kwa bao 1-0.