Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi (juu) akimpongeza mwenzake Angel Di Maria baada ya kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya Uswisi katika dakika ya 118 na hivyo kuwapeleka katika robo fainali ya Kombe la Dunia kwenye Uwanja wa Corinthians, mjini Sao Paulo muda mfupi uliopita.