Article 5
Mshambuliaji wa Uholanzi, Wesley Sneidjer akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha katika dakika ya 88 dhidi ya Mexico katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora jana. Uholanzi...
View ArticleArticle 4
Wachezaji wa Costa wakishangilia mara baada ya mwenzao kufunga penalti ya mwisho na hivyo kuindosha mashindanoni Ugiriki kwa jumla ya penalti 5-3 baada ya timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 katika dakika...
View ArticleArticle 3
Mshambuliaji wa Mexico, Giovanni Dos Santos akishangilia bao aliloifungia timu yake katika dakika ya 48 dhidi ya Uholanzi katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora jana mjini Fortaleza. Hata...
View ArticleDUTCH BREAK MEXICAN HEARTS WITH LATE DOUBLE
The Netherlands pulled off a staggering late comeback to beat Mexico 2-1 in Fortaleza and make the quarter-finals of the World Cup.A stunning goal from Giovani Dos Santos and a string of magical saves...
View ArticleArticle 1
Mshambuliaji wa Uholanzi, Arjen Robben akiwa ameangushwa chini na hivyo kuipatia timu yake penalti dhidi ya Mexico katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora jana. Penalti hiyo ilipigwa kiufundi...
View Article10-MAN COSTA RICA BEAT GREECE ON PENALTIES
Goalkeeper Keylor Navas was Costa Rica's hero as his penalty shoot-out save put ten-man Costa Rica into the World Cup quarter-finals after a 1-1 draw in extra time against Greece.Los Ticos will face...
View ArticleTRA KUTOA TIN, STIKA ZA MAGARI SABASABA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kutoa huduma za namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa watu binafsi, na stika za ada ya magari kwa mwaka katika maonesho ya Sabasaba.Aidha, imewataka...
View ArticleALAT YAKUSANYA BILIONI 1.5/- KUMALIZA UHABA WA MADAWATI
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa nchini (ALAT), Dk Didas Massaburi amesema wamekamilisha awamu ya kwanza ya mpango wao wa kukusanya Sh bilioni 1.5 kwa ajili ya kumaliza tatizo la uhaba wa...
View ArticleWIZI WA NYAYA WASITISHA MAWASILIANO IKULU
Wizi wa nyaya za Kampuni ya Simu nchini (TTCL) na zile zinazounganishwa kwenye transfoma za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umesababisha ukosefu wa huduma ya mawasiliano ya uhakika ikiwamo Ikulu...
View ArticleSAMAKI WA 'KICHINA' WAPIGWA MARUFUKU ZANZIBAR
Bodi ya Chakula Madawa na Vipodozi imepiga marufuku uuzwaji katika maeneo ya wazi kwa samaki walioingizwa nchini kutoka China na Kampuni ya Kauthar Sea food Ltd mjini Unguja kwa sababu za...
View ArticleSMZ YAANZA KUSOMESHA WATAALAMU MAFUTA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema jumla ya wanafunzi 20 wanaendelea na masomo katika fani ya mafuta na gesi pamoja na utafiti.Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdallah Shaaban...
View ArticleKORTI YAMWACHIA HURU MKURUGENZI ILALA
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, John Lubuva na wenzake wameachiwa huru baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kutumia vibaya madaraka, kula njama na...
View ArticleKESI YA AKINA MADABIDA KUSIKILIZWA JULAI 28
Kesi ya kusambaza dawa feki za Ukimwi (ARVs), inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza dawa Tanzania Pharmaceutical Industries Ltd (TPL), Ramadhani Madabida na wenzake inatarajiwa kuanza...
View ArticleKESI YA DK MAHANGA DHIDI YA MSEMAKWELI YAFUTWA
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifuta kesi ya madai ya kashfa iliyokuwa imefunguliwa na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga dhidi ya Mwanaharakati, Kainerugaba Msemakweli na...
View ArticleMBEYA WAANDALIWA TAMASHA LA ISHARA, MIUJIZA
Shirika la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden, kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Mkoa wa Mbeya, wameandaa tamasha la ishara na miujiza litakalofanyika...
View ArticleAMUUA MPENZI WAKE, AJIKATA KOROMEO
Mkazi wa Mtaa wa Majengo ‘B’ mjini hapa, Cesilia Clement (22) ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu mwilini na mpenzi wake, aliyemtuhumu kutomjali baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
View ArticleBEI YA VYAKULA SOKONI YAPAA MARADUFU
Kutokana na kuanza kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya wafanyabiashara katika mikoa mbalimbali nchini, wamepandisha bei za vyakula, hali iliyoanza kuleta usumbufu kwa wananchi.Mwandishi...
View ArticleGERMANY DENY HEROIC ALGERIA IN EXTRA-TIME
Andre Schuerrle and Mesut Ozil scored in extra-time double to put Germany into the quarter-finals of the World Cup following a real test of their credentials against Algeria.The African side posed a...
View ArticleArticle 7
Mshambuliaji wa Ufaransa, Paul Pogba akiifungia timu yake bao kwanza dhidi ya Nigeria katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora jana. Ufaransa ilishinda mabao 2-0 na kutinga Robo Fainali.
View Article