$ 0 0 Wachezaji wa Algeria akifarijiana mara baada ya kumaliza kwa mechi yao ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora dhidi Ujerumani iliyochezwa jana. Ujerumani ilishinda mabao 2-1 na kutinga Robo Fainali.