Maznat Yusuph Sinare akimpaka vipodozi mmoja wa warembo kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya OriFlame wakati wa maonesho ya bidhaa mpya yaliyofanyika ukumbi wa Zanzibar kwenye Hoteli ya Hyatt Regency (zamani The Kilimanjaro Hotel), Dar es Salaam.