Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4500

CHEKA TARATIBU

$
0
0
Mzee mmoja kaenda mjini kumtembelea mwanae wa kiume ambaye ndio kwanza ametoka kufunga ndoa na binti mmoja. Siku moja mzee huyo alikuwa mezani na mkwe wake (mke wa kijana wake) wakipata chakula cha mchana mambo yakawa hivi. MZEE: Ooh, nashukuru sana kwa chakula mwanangu. MKWE: Aah, baba ongeza kidogo, mbona chakula bado kipo! MZEE: Yaani hapa nashindwa hata kupumua vizuri kwa jinsi nilivyoshiba. Huku  mkwe wake akiondoa vyombo akamwita msichana wake wa kazi, "Mwanaidi mletee baba tishu!" Mzee kusikia hivyo akadakia kwa ukali, "We binti unataka mpaka nijinyee sio? Hiyo tishu niwekee nitakunywa na chai kesho asubuhi!!" Duh, kasheshe...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4500

Trending Articles