Mshambuliaji wa Ujerumani, Andre Schuerrle akiifungia timu yake bao la kwanza huku kipa wa Algeria, Rais M’Bohli akiruka bila mafanikio katika mechi ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana. Ujerumani ilifanikiwa kutinga Robo Fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.