$ 0 0 Kipa wa Nigeria, Vincent Enyeama akikodolea macho mpira uliopigwa na Paul Pogba (hayupo pichani) ukitinga wavuni wkati wa mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora uliochezwa jana. Nigeria ilichapwa mabao 2-0.