Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Maxcom Africa Limited, wakati alipotembelea banda lao mapema leo mchana katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kwenye Viwanja cha Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es salaam.