$ 0 0 Meneja Rasilimaliwatu na Utawala wa Kampuni ya Aramex Tanzania limited, Jane Njagi (kushoto) akielezea jinsi kampuni yake ilivyoamua kuwasaidia Bonnah Education Trust kwa kuwadhamini kuahikikisha watoto 100 wanapata ada za elimu ya Sekondari.