LWAKATARE AHUSISHWA SHAMBULIO LA MWANDISHI ABSALOM KIBANDA...
Wilfred Lwakatare.Ofisa Mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare amekamatwa na Polisi na kuhojiwa kwa tuhuma ambazo hazijawekwa wazi.Habari za kukamatwa kwa...
View ArticleMOSHI MWEUPE WAFUKA KUASHIRIA KUPATIKANA KWA PAPA MPYA...
Moshi mweupe ukifuka juu la paa la Kanisa Dogo la Sistine kuashiria kupatikana kwa Baba Mtakatifu mpya, Kardinali Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina usiku wa kuamkia leo.
View ArticleASKARI PAKISTANI AUAWA KWA MAWE SABABU YA MAPENZI...
Eneo la Parachinar ambako alihamishiwa Anwar.Mwanajeshi wa Pakistan amepigwa mawe hadharani hadi kufa ikiwa ni amri ya mahakama ya kijadi kwa kuwa na mahusiano na mwanamke wa kawaida, imedaiwa...
View ArticlePAPA MPYA APIGWA 'STOP' KWENDA KUAGA KWAO ARGENTINA...
Papa Francis IBaada ya uchaguzi wa Papa mpya, Francis I (76), ambaye jina lake la awali ni Kardinali Jorge Mario Bergoglio, haruhusiwi kurudi nchini au jimboni mwake kama Askofu Mkuu ili...
View ArticleMTALII ABAKWA NA WANAUME WATATU, AKIWAMO BABU WA MIAKA 70...
Mtalii wa kike kutoka Uingereza amebakwa na kundi la wanaume mita chache tu kutoka mahali alipofikia kwa ajili ya mapumziko alipokuwa akiishi na rafiki yake wa kiume huko Costa del Sol, nchini...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Waziri wa Mifugo kaenda kutembelea mradi wa nyuki. Mlangoni kamkuta mlinzi na baada ya kujieleza kusudio lake mlinzi akamkatalia kuingia kwa madai ni marufuku kwa yeyote kuingia muda huo. Waziri kwa...
View ArticleKAMATI ZA BUNGE ZAVUNJWA KWA KUKITHIRI RUSHWA...
Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.Kamati za Bunge zimetangazwa, ambapo wajumbe wa kamati mbili zilizowahi kutuhumiwa kwa rushwa, wamesambaratishwa.Kwa mujibu wa orodha mpya...
View ArticleLWAKATARE WA CHADEMA BADO ASHIKILIWA NA POLISI...
Advera Senso.Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare bado anashikiliwa na Polisi.Hadi jana saa 10 jioni, wakili wa mtuhumiwa huyo,...
View ArticleRAIS KIKWETE AMKUBALI PAPA FRANCIS I, ATARAJIA MAKUBWA KWAKE...
Rais Jakaya Kikwete.Rais Jakaya Kikwete, ameonesha matumaini kwa Papa Francis I kwa kuchaguliwa kuongoza Kanisa Katoliki Duniani na kutarajia mabadiliko makubwa.Pia Rais amempongeza na kuahidi...
View ArticleMAMA AAMKA USINGIZINI NA KUTEMBEA UMBALI WA MAILI TISA...
KUSHOTO: Joy Grigg. KULIA: Sehemu alipopatikana umbali wa maili tisa kutoka kwake.Mama wa watoto wawili ambaye alipotea baada ya kutembea huku akiwa usingizini na kutoka kwenye dirisha lake la jikoni...
View ArticleMAWAKILI WATATU WAHAHA KUMNASUA LWAKATARE MIKONONI MWA POLISI...
Wilfred Lwakatare.Jopo la mawakili wanaomtetea Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare limelitaka Jeshi la Polisi kutoa dhamana kwa...
View ArticleRUBANI WA NDEGE ILIYOUA WATU 228 ALIPUMZIKA KWA SAA MOJA TU...
PICHA KUBWA: Vikosi vya uokoaji vikishughulikia moja ya mabaki ya ndege hiyo baharini. PICHA NDOGO: Marc Dubois.Rubani wa ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa ambayo ilianguka kwenye bahari na...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Mume kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima, kumbe kahamia kwa mwanamke mwingine nyumba ya pili kutoka kwake. Siku moja alipoamka asubuhi kuchungulia dirishani kwake kukoje, akamuona...
View ArticlePAPA MPYA ANUSURIKA KUANGUKA MADHABAHUNI, AENDELEA KUPANDA BASI...
JUU: Papa Francis I (kushoto) akiwa ndani ya basi wakati akienda kuendesha ibada siku moja baada ya kuchaguliwa kwake Vatican. CHINI: Papa Francis I akiinuka kwenye kiti chake kwenda kuwasalimia...
View ArticleZITTO KABWE NA FILIKUNJOMBE WAIBUKA VIDEDEA KAMATI ZA BUNGE...
Wabunge Deo Filikunjombe (kushoto) na Zitto Kabwe.Wabunge vijana waliokuwa wanaiongoza Kamati ya Bunge iliyovunjwa ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Kabwe Zitto na Makamu wake, Deo Filikunjombe,...
View ArticleRAILA ODINGA APINGA RASMI URAIS WA UHURU KENYATTA...
Raila Odinga.Hatimaye Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga amekata rufani katika Mahakama Kuu ya nchi hiyo akipinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika karibuni.Uhuru Kenyatta alitangazwa na Tume ya...
View ArticleMTALII ABAKWA NA KUNDI LA WANAUME WANANE MBELE YA MUMEWE...
Mtalii huyo (katikati) akiongozwa polisi wa kike kwenda hospitali kwa uchunguzi wa afya yake.Genge la wanaume wanane linadaiwa kumbaka mtalii mwenye miaka 39 na kumpiga mumewe kwa fimbo wakati wakiwa...
View Article