WIZI MPYA WA KUTUMIA MIKOJO WAIBUKA JIJINI DAR...
Wakati jamii ikiendelea kuamini kuwa mikojo ya binadamu inayohifadhiwa kwenye makazi ya watu kwa ujazo wa mapipa, ndoo na chupa, inatumika kwa ushirikina, wezi wa milango na madirisha katika majengo...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa karudi nyumbani usiku wa manane na kukuta miguu minne ikiwa imechomoza kwenye shuka chumbani mwake. Bila kuuliza, jamaa akachukua rungu na kuanza kuponda-ponda ile miguu kwa wivu. Katika...
View ArticleHIZI NDIZO SABABU ZA PAPA MPYA KUCHAGUA JINA 'FRANCIS'...
Papa Francis I.Papa Francis ametangaza waziwazi Jumamosi muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwake, akiwaeleza waandishi kwamba alivutiwa mara moja kuchukua jina la Mtakatifu Francis wa Assisi sababu ya...
View ArticleWANAWAKE SINGIDA WADAIWA NGONO WAWEZE KUCHOTA MAJI...
Foleni ya maji.Wanawake katika Kijiji cha Sasilo Kata ya Sasilo Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wamedai kudhalilishwa kijinsia na hata kufanyishwa ngono ili wapate upendeleo wa kuchota maji katika...
View ArticleUMRI WAMTUPA MKONO MBABE CHUCK NORRIS...
KUSHOTO: Chuck Norris alivyo sasa. KULIA: Chuck Norris wakati wa enzi zake za mikiki mikiki.Chuck Norris asiyeweza kuharibika hatimaye amefikia wakati wake ... wakati wa uzee.Norris mwenye miaka 73...
View ArticleWEZI WAIBA NYAYA ZA SIMU IKULU YA ARUSHA...
Watu wasiojulikana wamehujumu mawasiliano ya Ikulu ndogo Arusha baada ya kuiba nyanya za simu za Kampuni ya Simu Tanzania  (TTCL) mkoani humo.Wizi huo unadaiwa kusababishia kampuni hiyo hasara ya...
View ArticleLWAKATARE AANGUKIA MIKONONI MWA MWANASHERIA WA POLISI...
Wilfred Lwakatare.Hatima ya kufikishwa au kutofikishwa mahakamani kwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare ipo mikononi mwa Mwanasheria wa...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja kafikishwa hospitali baada ya kuugua malaria ghafla nyumbani kwake. Daktari alipompima akasema: "Huyu lazima apewe kitanda." Jamaa: "Hicho ninacho, labda mnipe kabati jamani!" Kasheshe...
View ArticleHATARI!! PASIPOTI ZA TANZANIA 'ZAUZWA KAMA NJUGU'...
Idara ya Uhamiaji imeshtukia kuibuka kwa biashara ya ununuzi wa hati za kusafiria za Tanzania, unaofanywa na watu wasio Watanzania.Wanunuzi hao wanadaiwa kushawishi Watanzania wenye hati hizo, kuziuza...
View ArticleMSTAAFU APOKEA KIPIGO KWA KUMKUMBUSHA DEREVA KUWASHA TAA ZA GARI...
KUSHOTO: Mstaafu baada ya kupokea kipigo kikali. JUU: Christopher Graney. CHINI: Samantha Frenton.Mstaafu ameachwa akiwa hatambuliki kabisa baada ya vijana wawili kumtandika vilivyo wakati...
View ArticleLWAKATARE APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA UGAIDI...
Wilfred Lwakatare akiongozwa kutoka mahakamani jana.Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu...
View ArticleKOCHA AKABILIWA NA KIFUNGO KWA KUDHALILISHA WASICHANA KWA MIAKA 40...
Mmoja wa makocha mashuhuri wa mazoezi ya viungo nchini Uingereza anakabiliwa na kifungo jela kwa kuwadhalilisha wasichana wadogo sita kwa zaidi ya miaka 40 iliyopita.Bob Bellew amechapisha vitabu...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Hivi lini Wabongo tutaacha uvivu? Majambazi wawili walivamia duka moja eneo la Kariakoo na kufanikiwa kuiba kiasi kikubwa cha fedha na kutokomea nacho. Walipofika kwenye maficho yao jambazi mmoja...
View ArticleWAISLAMU WAENDESHA SALA TANO NDANI YA KANISA...
Mchungaji Isaac Poobalan (kulia) na Imamu Mkuu Ahmed Megharbi wakiwa ndani ya kanisa hilo.Kanisa la Kiskochi limekuwa la kwanza katika Uingereza kuchangia majengo yange na waumini wa Kiislamu.Kanisa...
View ArticleTRAFIKI AGONGWA NA KUFA KWENYE MSAFARA WA KIKWETE...
Wasamaria wakifunika mwili wa Koplo Elikiza mara baada ya ajali hiyo jana.Askari wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Elikiza, jana ndiyo ilikuwa siku yake ya mwisho duniani kwani alikufa...
View ArticleMTALII ARUKA GHOROFANI AKIKIMBIA KUBAKWA HOTELINI...
Taj Mahal.Mtalii wa Uingereza nchini India amelazwa hospitalini baada ya kuruka nje ya dirisha katika jaribio la kukimbia kubakwa, imefahamika.Mwanamke huyo mwenye miaka 25 alikuwa anakaa katika hoteli...
View ArticleWALIMU WAWEKA REHANI KADI ZAO ZA ATM KWA MIKOPO...
Mashine ya ATM.Walimu zaidi ya 300 wilayani hapa wameweka rehani kadi za mashine za kutolea fedha benki(ATM) baada ya kukopa kwa watu binafsi.Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Dk Michael Kadege alisema hayo...
View Article