Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

CHEKA TARATIBU...

$
0
0
Mume kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima, kumbe kahamia kwa mwanamke mwingine nyumba ya pili kutoka kwake. Siku moja alipoamka asubuhi kuchungulia dirishani kwake kukoje, akamuona mwanaume kavaa taulo lake akipiga mswaki mlangoni kwake. Mume uzalendo ukamshinda na kupiga kelele: "We nani?" Yule mwanaume akajibu: "Mambo ya mjini, mume wa huyu demu kaenda Songea ndio najivinjari hapa!" Mume kwa uchungu akajibu: "Mpuuzi mkubwa wewe! Sasa ngoja nirudi kutoka Songea lazima nikuchinje!" Duh...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Trending Articles