Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALI YA MWAKA!! KIDHIBITI CHA COCAINE CHAGEUKA CHUMVI POLISI...

Polisi nchini imeendelea kuanikwa, ambapo tofauti na ilivyokuwa ada kwa asasi za kiraia kutoa ripoti ya madudu ndani ya taasisi hiyo muhimu, safari hii Serikali imeyabaini na kuwachukulia hatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKARDINALI WAANZA LEO KUMCHAGUA PAPA MPYA...

Makardinali 115 wa Kanisa Katoliki wanaanza kumchagua Baba Mtakatifu Vatican leo.Habari zilizotangazwa kutoka Vatican mwishoni mwa wiki, zinaonesha kwamba makardinali wote wamekufanyika katika makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENYE VITUO VYA TV SASA WALILIA ANALOJIA...

Seti ya Televisheni inayotumia mfumo wa digitali.Wamiliki wa vituo vya televisheni nchini, wameiomba Serikali kurudisha mfumo wa analojia, uendeshwe sambamba na wa digitali, ili kurudishia wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSICHANA WA MIAKA 16 ABAKWA MARA 90 WIKIENDI MOJA...

Msichana mwenye umri chini ya miaka 20 alibakwa mara 90 katika wikiendi moja imebainishwa, kwenye ripoti ya kushitusha katika zama za utumwa mamboleo nchini Uingereza.Ripoti hiyo, inayotarajiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Daladala lilitoka KariakooĀ  kufika Manzese konda akauliza: 'Kuna mtu anashuka?" Jamaa mmoja mpenda sifa akajibu kwa sauti: "Tumeacha nyumbani, hapa tuna MITANDIO tu!" Konda akanyamaza na safari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU WACHEKELEA MATOKEO MABOVU YA KIDATO CHA NNE...

Baadhi ya wanafunzi wakifanya mtihani wa Kidato cha Nne.Wakati jamii ikitafuta suluhisho la kushuka kwa elimu nchini na matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka jana, baadhi ya walimu wamebainika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WALIOIBA MILIONI 150/- ZA KARIAKOO WAFUKUZWA KAZI...

Kamanda Suleiman Kova.Jeshi la Polisi linaonekana kusafishwa na kujisafisha baada ya safari hii askari wake watano watuhumiwa wa uporaji wa Sh milioni 150 za kidhibiti, kutimuliwa kazi.Fedha hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA MIAKA MINANE AFUNGA NDOA NA MAMA WA MIAKA 61...

Mtoto Sanele (kulia) akiwa na mkewe, Helen mara baada ya kufunga ndoa hivi karibuni.Mwanafunzi wa kiume mwenye miaka minane amemuoa mwanamke mwenye miaka 61 kwa sababu mzimu wa babu yake ulimwelekeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA AFRIKA KUSINI AREJESHWA NYUMBANI KWA KUZURURA UCHI MITAANI...

Lassy Chiwayo.Balozi Mdogo wa Afrika Kusini nchini China amerudishwa nyumbani baada ya kudaiwa kukutwa akizurura mitaani huku akiwa uchi.Lassy Chiwayo, mwanasiasa mkongwe ambaye ametumia muda wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIFUNGUA MTOTO NDANI YA NDEGE UMBALI WA FUTI 38,000...

KUSHOTO: Purukushani ndani ya ndege kabla Fatoumatta hajajifungua. JUU: Fatoumatta Kaba. CHINI: Mtoto Mamel Joella.Msichana ambaye alijifungua mtoto wa kiume ndani ya ndege katika umbali wa futi 38,000...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Mchagga mmoja alipokufa kufika mbinguni akakutana na malaika na mambo yalikuwa hivi. Malaika: "Kushoto kwako ni Peponi, na kulia ni Jehanamu. Ungependa uende upande upi?" Mchagga: "Katikati ya Jehanamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUMU NDIMO ATAKAPOPATIKANA MRITHI WA PAPA BENEDICT XVI...

Muonekano wa ndani ya Kanisa Dogo la Sistine ambako mkutano wa faragha wa makardinali kuchagua Papa mpya ulioanza jana unaendelea.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARDINALI WA ARGENTINA ACHAGULIWA KUWA PAPA MPYA...

Kardinali Jorge Mario Bergoglio "Papa Francis I".Habari zilizopatikana muda mfupi uliopita kutoka Vatican zinasema Kardinali Jorge Mario Bergoglio, mwenye umri wa miaka 76, kutoka Argentina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA KUBWA ZANG'OA TUTA LA RELI YA KATI, MAELFU WAKWAMA MARA KADHAA...

Baadhi ya abiria wa treni wakijipatia mahitaji yao njiani.Zaidi ya abiria 1,200 waliokuwa wakisafiri kwa njia ya treni kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam, wamekwama mjiniĀ  hapa kutokana na mafuriko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACHINJWA SHINGO NA KUFA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA MBEYA...

Mtu mmoja amefariki dunia mkoani Mbeya baada ya kuchinjwa shingo na kufa kutokana na imani za kishirikina.Aliyechinjwa hadi kufa amefahamika kwa jina la Nickson Mwazembe (65), mkazi katika kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAWAGEUKA DK SLAA NA MBOWE...

Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma.Licha ya viongozi wa juu wa Chadema kukataza wabunge wao kuhojiwa, baadhi yao wamesalimu amri kwa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Wasukuma watatu walikaribishwa kwenye hafla moja katika hoteli kubwa ya kitalii mjini Arusha. Katika hafla hiyo Wasukuma hao walihudumiwa kwa vinywaji mbalimbali, lakini mmoja wao akaonekana kuvutiwa...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live