WAMZAWADIA MEGHJI KWA KUKAA MIAKA 9 WIZARA YA MALIASILI
Wizara ya Maliasili na Utalii imemzawadia aliyewahi kuwa waziri wake, Zakhia Meghji kwa kuwa pekee aliyeiongoza kwa muda mrefu. Meghji ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu, alisema “Mafanikio yoyote ya...
View Article'FEDHA KWENYE ASASI ZILIZO CHINI YA BENKI KUU NI SALAMA'
Wananchi wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuweka akiba katika benki na taasisi za fedha zilizosajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa kile kilichoelezwa ni njia salama na yenye faida kwao na...
View ArticleNCCR-MAGEUZI YAMKINGIA KIFUA KAFULILA
Kitengo cha Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi kimesema kinamuunga mkono mbunge wa Kigoma Kusini kupitia chama hicho, David Kafulila, kuhusu harakati za kutaka uchunguzi huru kuhusu suala la fedha za...
View ArticleMCHUNGAJI MSIGWA ATAKA KAMPUNI ZA UWINDAJI ZICHUNGUZWE
Waziri Kivuli wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, ametaka Serikali kufanya uchunguzi wa kina dhidi ya kampuni zote za uwindaji, kubaini matukio ya ukiukwaji wa sheria za...
View ArticleMFUMO MBOVU WATAJWA KUATHIRI ELIMU NCHINI
Mfumo mbovu wa elimu hapa nchini, umetajwa kusababisha wanafunzi katika shule za umma kusoma kwa mtindo wa kupenya, hali inayosababisha kuwepo kwa idadi kubwa ya watu walioenda shule, lakini idadi ya...
View ArticleCUF YAONYA KUCHAGUA RAIS SABABU YA UJANA WAKE
Vijana wanaotaka uongozi hususani nafasi ya urais, wameshauriwa kujenga hoja, kuonesha malezi mazuri waliyo nayo na karama ya uongozi, ili watu wabaini wawachague, badala ya kuegemea kigezo cha rika...
View ArticleWATU 29 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI LA KIGAIDI KENYA
Watu wenye silaha wameua watu 29 katika mashambulizi mawili tofauti eneo la Pwani ya Kenya.Shambulizi la kwanza limefanyika katika eneo la Hindi na lingine Gamba, karibu na mpaka wa Kenya na...
View ArticleMAASKOFU WATOA YA MOYONI KUHUSU BUNGE LA KATIBA
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa pili kuhusu Katiba mpya kwa Watanzania, ambao umetuma ujumbe mzito kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ukisisitiza Katiba ijayo iwe ya...
View ArticleWAFANYABIASHARA WATAKIWA KUPUNGUZA BEI ZA VYAKULA
Wafanyabiashara visiwani hapa wametakiwa kupunguza bei ya vyakula kutoa nafasi kwa wananchi kutekeleza vizuri mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni moja ya ibada muhimu kwa Waislamu.Hayo...
View ArticleMWAMBUNGU AZIBANA HALMASHAURI RUVUMA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amezitaka halmashauri za wilaya na halmashauri za Manispaa, kurejesha vijijini asilimia 20 ya mapato yanayotokana na ushuru ili yafanye kazi za maendeleo....
View ArticleWAOMBA USHIRIKIANO WA RAIA KUDHIBITI UHAMIAJI HARAMU
Idara ya Uhamiaji imewataka wananchi kutoa taarifa pale wanapoona kuna wahamiaji haramu wanaishi katika mazingira yao au wanaishi bila kibali hapa nchini ili wachukuliwe hatua.Ofisa Uhusiano wa Idara...
View ArticleDK MWINYI KUFUNGUA KONGAMANO LA MAJESHI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi anatarajiwa kufungua kongamano la Majeshi ya Nchikavu ya nchi za Afrika Mashariki lenye lengo la kujadili changamoto...
View ArticleTUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAKABIDHIWA RUNGU
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Fakhi Jundu amesema kuanzia sasa watumishi wote wa mahakama wataajiriwa kupitia Tume ya Utumishi wa Mahakama.Hatua hiyo imefikiwa kuondoa malalamiko ya wafanyakazi...
View ArticleCHADEMA YAOMBA MSAADA KWA MSAJILI KUFANYA MIKUTANO
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mtwara, Kassim Bingwe, amemuomba msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuzungumza na serikali ili ione umuhimu wa...
View ArticleILALA WAZINDUA UTUMIAJI MITANDAO KUTOA LESENI
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jana imezindua utumiaji mitandao katika utoaji wa leseni ya biashara.Meya wa Manispaa hiyo, Jerry Silaa, alizindua mtandao huo jana katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya...
View ArticleMETL YAFAGILIWA KWA KUTOA AJIRA KWA WAKULIMA, VIWANDANI
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amepongeza makampuni yaliyo chini ya Kundi la METL, kwa kuhakikisha ajira kwa watanzania na soko la malighafi kwa wakulima wa bidhaa mbalimbali nchini.Silaa...
View Article