Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO UJUMBE MZITO ALIOTOA ABSALOM KIBANDA BAADA YA KUREJEA NCHINI...

Absalom Kibanda akizungumza na umati wa watu waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam, jana.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, amerejea nchini na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YASHUTUMIWA KUKITHIRI KWA RUSHWA...

Baadhi ya maofisa wa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na halmashauri nchini wameshutumiwa kuwa wala rushwa kiasi cha kufanya wenye nia na utayari wa kulipa kodi nchini kutofanya hivyo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZEE WALIOTESWA VITA VYA MAU-MAU KULIPWA FIDIA DOLA MILIONI 14...

Baadhi ya wazee hao wakiwa nje ya mahakama.Uingereza imekubali kulipa fidia ya mamilioni ya Dola za Kimarekani kwa maelfu ya Wakenya walioteswa na majeshi ya kikoloni wakati wa mapinduzi ya mwisho wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Mwalimu wa somo la Hisabati katika shule moja kamuuliza mwanafunzi swali: "Ukipewa maandazi sita, nikatoa moja. Utabakiwa na maandazi mangapi?" Mwanafunzi akainamisha kichwa na baada ya kufikiri kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI, WATAALAMU SERIKALI WATUHUMIWA KUHUJUMU MAWAZIRI...

Wabunge wakiwa kikaoni mjini Dodoma.Watendaji na wataalamu wasio waaminifu serikalini wamedaiwa kutumiwa na baadhi ya watu ili kuangusha mawaziri, imeelezwa.Hayo yalisemwa bungeni jana na Mbunge wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA VIPIMO, MWANAUME WA MIAKA 66 AAMBIWA KUWA NI MWANAMKE...

Jiji la Hong Kong vilikofanyika vipimo vya manaume huyo.Mwanaume mmoja raia wa China ambaye alikwenda kwa madaktari akiwa na uvimbe tumboni ameelezwa kwamba yeye ni mwanamke.Mtu huyo mwenye miaka 66,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAJIPANGA KWA KATIBA YA TANZANIA BARA...

Jaji Frederick Werema.Serikali imesema hakuna kipengele chochote katika Rasimu ya Katiba kitakachochelewesha ama kuzuia uchaguzi mkuu wa wabunge na rais mwaka 2015.Hayo yalibainishwa jana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA WIKI IJAYO KUJADILI RASIMU YA KATIBA...

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa wiki ijayo kuongoza Kamati Kuu ya chama hicho kujadili Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kaokota pochi kwenye daladala. Alipofika kwake akapiga simu katika kituo kimoja cha redio na mambo yakawa hivi. Jamaa: "Haloo, nimepiga simu kutangaza nimeokota pochi ndani ina Shilingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA MFLAME ALISHITAKI JARIDA LA FORBES KWA KUPUNGUZA UTAJIRI WAKE...

Prince Alwaleed bin Talal.Mtoto wa Mfalme wa Saudi Arabia analishitaki jarida la Forbes kwa upotoshaji sababu lilimtaja kuwa ana utajiri wenye thamani ya Dola za Kimarekani bilioni 20 tu katika orodha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPATO NA MATUMIZI YA VYAMA VYA SIASA SASA KUKAGULIWA...

Dk William Mgimwa.Mapato na matumizi ya vyama vya siasa yataanza kukaguliwa katika mwaka ujao wa fedha.Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa alisema hayo bungeni jana wakati akisoma hotuba ya Makadirio ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA MAKINDA AWAPASHA WABUNGE, ASEMA HAWANA UWEZO...

Spika Anne Makinda.Spika wa Bunge, Anna Makinda amesema wabunge wengi wamepungukiwa uwezo kutokana na kuacha kuzungumzia mambo muhimu badala yake wanajadili watu binafsi.Aidha Mbunge wa kuteuliwa James...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU WA KIKE AKIRI KUFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI NDANI YA GARI LAKE...

Mwalimu Jamila Love Williams.Mwalimu mmoja wa kike mwenye miaka 35 anatuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi wake wawili wenye umri chini ya miaka 18 nyumbani kwake, ndani ya gari lake na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUBANI ATAPELI MAMILIONI YA SHILINGI DAR...

Kasi ya utapeli kwa njia ya mtandao nchini, imemkumba na kumwathiri mkazi ya Mbagala, Dar es Salaam, Leonard Abel `Rambo’, baada ya kujikuta akitapeliwa zaidi ya Sh milioni 80 kwa ahadi ya kusomeshewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZINDUKA BAADA YA UPASUAJI NA KUGUNDUA KANYOFOLEWA PUA...

Vishal Thakkar baada ya upasuaji (kushoto) na kabla.Mwanaume mmoja alizinduka baada ya upasuaji wa pua na kukuta daktari aliyemfanyia upasuaji huo kanyofoa pua yake yote.Mgonjwa Vishal Thakkar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADINI YA URANI SASA KUANZA KUCHIMBWA RASMI RUVUMA...

Madini ya Urani.Uchimbaji madini ya urani wilayani Namtumbo, Ruvuma unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serikali kujiridhisha kuwa uchimbaji wake hauna madhara.Imeweka wazi kuwa imejipanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUSHWA YA NGONO YAKITHIRI CHUO KIKUU CHA DODOMA...

Moja ya majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).Suala la uwepo wa rushwa ya ngono kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limetinga bungeni.Lilijitokeza jana wakati Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live