VITA YAIBUKA BANDARI KUJAZA NAFASI ZA VIGOGO WALIOTIMULIWA...
Bandari ya Dar es Salaam.Nafasi za kazi zilizotangazwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPR) kwa ajili ya viongozi wa juu wa Mamlaka hiyo, zimedaiwa kuibua vita kubwa ya ajira, imeelezwa.Habari za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ASISITIZA ZANZIBAR IWE DOLA INAYOJITEGEMEA...
Maalim Seif Sharif Hamad.Wakati Rasimu ya Katiba mpya ikitarajiwa kuzinduliwa leo, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameonesha dhahiri kutoridhishwa na Muungano na kusema...
View ArticleSAMUEL SITTA AOKOA JAHAZI BUNGENI DODOMA...
Samuel Sitta.Kaimu Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta jana aliepusha hatari ya kuzuiwa kwa bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na...
View ArticleUGOMVI NA BABA WASABABISHA MAMA KUUA MTOTO KWA RISASI....
KUSHOTO: Lisa Marie Lesyshen KATIKATI: Asher. KULIA: Michael Kirlan.Mama wa mvulana wa miaka tisa alimpiga risasi mtoto huyo mara tano katika nyumba aliyokuwa akichangia na baba wa mtoto huyo huko...
View ArticlePADRI ASHINIKIZA MAPADRI KANISA KATOLIKI WARUHUSIWE KUTOA MAPEPO...
KUSHOTO: Padri Gabriele Amorth. KULIA: Papa Francis I akimtoa mapepo mmoja wa walemavu.'Mpungaji mapepo' anayeongoza katika Kanisa Katoliki ametaka mapadri wote kuruhusiwa kuendesha misa za tambiko...
View ArticleDK KAWAMBWA 'KUKALISHWA CHUMBA CHA MTIHANI' LEO DODOMA...
Dk Shukuru Kawambwa.Wakati Bunge likiendelea na vikao huku zikiwa zimebaki wizara tatu ambazo bajeti zake hazijasomwa, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatarajiwa kuamsha mjadala mkali bajeti yake...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja alitoka kanisani na kuelekea nyumbani. Alipofika kwake akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu. Mkewe akauliza: "Vipi mpenzi wangu, mbona leo sikuelewi? Huku akiwa bado kamnyanyua, mume...
View ArticleMSICHANA ALIYEFICHUA KUBAKWA NA WANAUME WANNE SASA AAMRIWA KUUAWA...
Kainat Soomro.Mapambano ya kijasiri ya muathirika wa tukio la ubakaji na genge la wahuni aliyetengwa na kijiji chake nchini Pakistani kwa kuwashutumu wanaodaiwa kumshambulia sasa ni mada ya filamu fupi...
View ArticleUHALIFU KWENYE MITANDAO YA KOMPYUTA KUBAKI HISTORIA...
Serikali imeunda kikosi maalumu kitakachoratibu matumizi ya mitandao ya kompyuta na kitakuwa na jukumu la kufuatilia na kudhibiti uhalifu wa kimtandao nchini.Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na...
View ArticleMZAHA WA LEO...
******************************Hata soda nayo ina gesi lakini haitoki Mtwara!******************************
View ArticleJWTZ YAKANUSHA TAARIFA MABOMU KURUSHWA KUTOKA NCHI JIRANI...
Moja ya aina za mabomu.Watu wasiojulikana wanadaiwa kutumia jina la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kusambaza ujumbe wenye kuleta taharuki nchini, ukidai yapo mabomu yaliyorushwa nchini...
View ArticleTANZANIA SASA KUONGOZWA NA MARAIS WATATU, MGOMBEA BINAFSI RUKSA...
Ikulu ya Dat es Salaam.Rasimu ya Katiba imetolewa na Tume ya marekebisho ya katiba na miongoni mwa mambo yanayopendekezwa ni kuundwa kwa Serikali tatu pamoja na kuruhusiwa kwa mgombea binafsi.Uzinduzi...
View ArticleWANANCHI WAPONGEZA, WANASIASA NA WANAHARAKATI WASIGANA RASIMU YA KATIBA MPYA...
Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal (katikati) akiinua juu Rasimu ya Katiba Mpya jijini Dar es Salaam, juzi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba na Waziri Mkuu Mizengo...
View ArticleKIWANGO CHA UFAULU KUONGEZWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI...
Baadhi ya wanafunzi wa mojawapo ya shule za msingi nchini wakifuatilia masomo.Serikali imetaja mpango kamambe wa kuongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa elimu ya msingi na sekondari kufikia...
View ArticleWANAFUNZI 98,000 WA VYUO VYA ELIMU YA JUU KUPATIWA MIKOPO...
Baadhi ya wanafunzi na wageni wakipata maelezo kutoka kwa mhusika kwenye banda la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.Wanafunzi 98,025 wa vyuo vya Elimu ya Juu nchini wanatarajiwa kupata mikopo mwaka ujao...
View Article