Mwalimu wa somo la Hisabati katika shule moja kamuuliza mwanafunzi swali:
"Ukipewa maandazi sita, nikatoa moja. Utabakiwa na maandazi mangapi?" Mwanafunzi akainamisha kichwa na baada ya kufikiri kwa muda akajibu: "Ukinipa na chai ya maziwa, sibakishi hata moja!" Duh...