WASOMI WAAFIKI WALICHOFANYIWA AKINA ZITTO KABWE CHADEMA...
Viongozi wa Chadema wakishiriki katika moja ya kampeni za chama hicho.Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chadema (Chaso) Mkoa wa Dar es Salaam, umeunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho...
View ArticleJANJA YA WABUNGE KUJILIPA ZAIDI YAGUNDULIKA...
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano, mjini Dodoma.Nchi masikini za Afrika ikiwamo Tanzania zinatumia fedha nyingi kulipa wabunge wakati utendaji kazi wa viongozi hao wa kisiasa ni mdogo na hauendani...
View ArticleMCHUNGAJI GWAJIMA AFANYA KUFURU YA MWAKA, SASA KUTUMIA HELIKOPTA...
Josephat Gwajima.Wakati viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo nchini wakionekana kushindana kwa utajiri, hali inayowafanya waishi `kifalme' na kufungua miradi mbalimbali, Mchungaji...
View ArticleBINTI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR KUKAA NA BANDEJI MASAA 23 KWA SIKU....
KUSHOTO: Moja ya mitaa ya Mji Mkongwe ambako shambulio hilo lilitokea. KULIA: Kirstie Trup akionesha majeraha yake kifuani. Mwathirika mmoja wa shambulio la tindikali la Zanzibar bado analazimika...
View ArticleMCHIMBA MAKABURI ATIMULIWA KAZI KWA KUPIGA SALUTI NDANI YA KABURI...
Hii ndio picha iliyomponza Ray Loxton.Mchimba makaburi amefukuzwa kazi hiyo aliyoifanya kwa miaka 40 baada ya picha yake aliyoonekana akiwa amesimama nusu uchi kwenye eneo la makaburi kuonekana ya...
View ArticleKUMBE KOSA KUBWA LA ZITTO NI KUGOMBEA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA...
Zitto Kabwe.Mashitaka 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa,...
View ArticleZIARA YA DK. SLAA MKOANI KIGOMA SASA NI KIZUNGUMKUTI...
Dk Willibroad Slaa.Kitendo cha kuwavua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo, kimesababisha ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk...
View ArticleSUMATRA KUADHIBU WALANGUZI WA NAULI MSIMU WA SIKUKUU...
Abiria katika kituo kikuu cha mabasi ya mikoani Ubungo.Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchikavu (Sumatra) imejipanga kupambana na walanguzi wa nauli za mabasi katika msimu wa sikukuu za...
View ArticleWAFANYAKAZI UWANJA WA KIA MBARONI KWA DAWA ZA KULEVYA...
Uwanja wa Ndege wa KIA.Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Uwakala wa Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO), wanashikiliwa Polisi kwa madai ya kupanga njama za kupitisha...
View ArticleVIGOGO WATANO WA POLISI WAVISHWA VYEO...
IGP Said Mwema akimvisha cheo Thobias Andengenye.Maofisa watano wa Jeshi la Polisi nchini wamevishwa vyeo huku wanane wakiapishwa baada ya kupandishwa vyeo na kuteuliwa juzi na Rais Jakaya Kikwete,...
View ArticleKUPINGA KATIBA MAJIMBONI SASA RUKSA...
William Lukuvi.Muswada wa Sheria ya Kura ya Maoni wa Mwaka 2013, uliowasilishwa rasmi bungeni jana unaweka masharti ya kutambua makundi ya watu, vyama na asasi za kiraia yanayokusudia kupinga Katiba...
View ArticleNDESAMBURO ATILIA SHAKA MALALAMIKO YA CHADEMA KUIBIWA KURA...
Philemon Ndesamburo.Mmoja wa wafadhili wa Chadema, Philemon Ndesamburo, ametilia shaka madai ya muda mrefu ya chama hicho kuibiwa kura kwenye uchaguzi.Ndesamburo, ambaye pia ni Mbunge wa Moshi Mjini...
View ArticleMSAJILI WA VYAMA AHIMIZA MAOMBI YA AMANI LEO ARUSHA...
Jaji Francis Mutungi.Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewasihi viongozi wa madhehebu ya dini, wananchi na viongozi wa vyama vya siasa kujitokeza kwa wingi leo kuiombea amani Arusha....
View ArticleMUHIMBILI YAKANUSHA KUWA NA WADI MAALUMU YA BODABODA...
Hospitali ya Muhimbili.Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo (MOI), imekanusha uvumi kwamba madaktari wake wamekuwa wakikata miguu madereva wanaoendesha pikipiki za...
View ArticlePINDA AKANA KULIPWA MSHAHARA MILIONI 30, ASEMA ANALIPWA MILIONI 6/-...
Mizengo Pinda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amevunja ukimya na kuweka hadharani mshahara wake kuwa ni Sh milioni sita na si milioni 30 kwa mwezi kama inavyopotoshwa.Pia amesifu mfumo unaotumika nchini wa...
View Article'WALIOMWUA' DK. SENGONDO MVUNGI WATISHIANA WENYEWE KUUANA RUMANDE...
Washitakiwa 10 wanaodaiwa kumwua aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengodo Mvungi wameiomba Mahakama iwatenganishe rumande kwa kuwa wanapigana na kutishana kuuana.Walidai hayo jana...
View Article