VIONGOZI WAFUNGIWA GHALA LA KOROSHO NA KUMWAGIWA UPUPU MTWARA...
Mmea wa upupu shambani.Viongozi wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Mazao na Masoko Lenganelo na Diwani wa Mchemo, Mshamu Chituta, wamekamatwa na wanachama, wakafungiwa katika ghala la korosho na...
View ArticleMAWAKILI WA SERIKALI KUPIGIWA SALUTI MAHAKAMANI...
Frederick Werema.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema, ameagiza utaratibu wa zamani wa mawakili wa Serikali kupigiwa saluti, urejeshwe ili Dola iheshimiwe wakati wa kuendesha kesi.Alisema...
View ArticleSAKATA LA KODI ZA SIMU KURUDISHWA BUNGENI AGOSTI...
Waziri wa Fedha, William Mgimwa alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Serikali 2013/2014 bungeni Dodoma.Sakata la kodi ya simu ya Sh 1,000 kwa kila laini ya simu kwa mwezi, inayolipwa na watumiaji wa simu,...
View ArticleDODOMA YAONGOZA KWA KUZALISHA OMBAOMBA WENGI DAR...
Baadhi ya ombaomba wakiwa wamepiga kambi kando ya moja ya mitaa ya Dar es Salaam na watoto wao.Mkoa wa Dodoma unadaiwa kuongoza kwa kutoa idadi kubwa ya watoto wanaoomba mitaani katika Jiji la Dar es...
View ArticleMWALIMU WA HISABATI ABAMBWA CHINI YA KITANDA CHA MWANAFUNZI WAKE WA KIKE...
Mwalimu huyo akiwa amefungwa pingu chini ya ulinzi wa polisi.Mwalimu wa somo la Hisabati amebambwa akiwa amejificha chini ya kitanda cha mmoja wa wanafunzi wake mwenye umri wa miaka 16.Mwalimu huyo...
View ArticleSHEKHE PONDA ASAKWA NA POLISI ZANZIBAR KWA KUHATARISHA AMANI...
Shekhe Ponda Issa Ponda.Polisi Zanzibar inamsaka Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Ponda Issa Ponda, kwa tuhuma za kuendesha mihadhara ya kidini katika misikiti kisiwani hapa, yenye...
View ArticleMWANAMKE ALIYEKUWA AKINYWA UNITI 350 ZA POMBE KWA WIKI AISHIA HOSPITALI...
Patricia Murphy (katikati) kabla ya kuangukia kwenye ulevi na kulia akiwa amelazwa hospitalini.Kiasi cha juu kabisa cha pombe kilichopendekezwa kutumiwa kwa wanawake ni kati ya uniti mbili na tatu kwa...
View ArticleTBS YAZINYANG'ANYA KAMPUNI 48 LESENI ZA ALAMA ZA UBORA...
Maji ya kunywa ya chupa.Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limesitisha leseni za alama za ubora ya TBS, katika bidhaa za kampuni 48, zikiwamo za maji ya kunywa, magodoro, taulo za wanawake, mvinyo na...
View ArticleMAMA ASIMULIA MACHUNGU YA KUISHI GEREZANI NA BINTI YAKE WA MIEZI MINANE...
Khadija Shah akiwa na binti yake, Malaika.Mwanamke mmoja wa Uingereza anayetuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin amezungumzia maumivu yake makali katika malezi ya binti yake mdogo ndani...
View ArticleSERIKALI YAFANYA UPYA UTAFITI KUHUSU MAFUTA YA UBUYU...
Moja ya aina za bidhaa za mafuta ya ubuyu.Utata wa kauli kuhusu usalama wa mafuta ya ubuyu, umesababisha Serikali kuyafanyia utafiti na hivi karibuni itatoa tamko la kumaliza gumzo hilo.Akizungumza na...
View ArticleMREMBO SHINDANO LA MISS AFRICA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU...
Lina Keza (kulia). Nyuma yake ni jengo yalikofanyika mauaji hayo.Mrembo chipukizi amekutwa amekufa kwa kuchomwa kwa visu huku binti yake wa miaka mitatu 'akilia pembeni yake kwenye dimbwi la damu',...
View ArticleMNENGUAJI AJINGUNDUA KUWA MJAMZITO WA KUJIFUNGUA BAADA YA KUFIKA HOSPITALI...
Mtoto wa mnenguaji huyo, Jack Arthur.Mnenguaji mmoja ambaye alipelekwa hospitali na mama yake wakati alipoanza kusumbuliwa na maumivu ya tumbo alipatwa na mshituko kugundua alikuwa leba na karibu...
View ArticleJELA SASA YANUKIA KWA SHEKHE PONDA...
Shekhe Ponda Issa Ponda.Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Shekhe Ponda Issa Ponda, yuko hatarini kufutiwa kifungo cha nje, iwapo Polisi itathibitishia Mahakama iliyomtia hatiani, kuwa ametenda...
View ArticleUCHAGUZI MKUU ZIMBABWE NI KICHEKESHO KIKUBWA...
Rais Robert Mugabe (kushoto) na Morgan Tsvangirai.Wakati upinzani nchini ukidai kuwa uchaguzi uliofanyika juzi ulikuwa kichekesho kikubwa, chama tawala kimedai kuwa mgombea wake, kiongozi mkongwe...
View ArticleMKURUGENZI WA MASHITAKA AFAFANUA KESI DHIDI YA PINDA...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Eliezer Feleshi, amesema haoni mantiki yoyote au uhalali wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), kumshitaki Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.Alisema...
View ArticleCHAMA CHA RAIS MUGABE CHAZOA VITI LUKUKI VYA UBUNGE ZIMBABWE...
Habari zilizopatikana muda mfupi uliopita zinasema, Robert Mugabe ameshinda theluthi mbili ya viti vyote vya ubunge katika uchaguzi uliofanyika wiki hii nchini Zimbabwe - ambao makundi mawili makubwa...
View ArticleMWAROBAINI WA KUPAMBANA NA UJAMBAZI WAPATIKANA...
Baadhi ya silaha zilizokamatwa na polisi kwenye moja ya matukio ya ujambazi hapa nchini.Jeshi la Polisi nchini katika kupambana na uhalifu limekuja na mbinu mpya ya kutambua wahalifu kwa kutumia gari...
View Article