MATUSI NA KEJELI ZA KAGAME ZAMDUWAZA RAIS KIKWETE...
Rais Paul Kagame (kushoto) na Rais Jakaya Kikwete.Baada ya kushambuliwa kwa kejeli na Rwanda, Rais Jakaya Kikwete amevunja ukimya na kueleza kushangazwa na kauli hizo na maneno yasiyofaa yanayotolewa...
View ArticleBIASHARA YA MAFUTA YA UBUYU SASA YADODA...
Wasindikaji wa mafuta ya ubuyu mkoani Dodoma wamesimamisha uzalishaji kutokana na ukosefu wa wateja baada ya Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), kutamka kuwa mafuta hayo ni hatari kiafya.Kwa...
View ArticleAWA MTU WA KWANZA DUNIANI KUTEMBELEA NCHI 201 KWA MIAKA MINNE BILA KUPANDA...
Graham Hughes akiinua juu shampeni kushangilia kukamilisha ziara yake Sudani ya Kusini.Imememchukua Graham Hughes takribani miaka minne kutembelea mataifa 201 na kuwa mtu wa kwanza kuzunguka dunia bila...
View ArticleMWALIMU WA KIKE KORTINI KWA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE...
Warnick (kulia) alihitimu kwenye shule hiyohiyo (pichani) aliyokuja kufundisha.Mwalimu mmoja mwenye miaka 22 huko New Jersey amekamatwa Ijumaa kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mmoja wa...
View ArticleAZINDUKA KWENYE ULEVI NA KUKUTA UUME WAKE UMENYOFOLEWA NA MBWA...
Geraldo Ramos akiwa kajipumzisha nyumbani baada ya kutoka hospitali.Mwanaume mmoja mwenye miaka 64 ameelezea jinsi alivyopoteza fahamu baada ya kunywa kupita kiasi usiku mzima na kuzinduka akiwa hana...
View ArticleWASICHANA WA SHULE WAISHI KWA HOFU YA KUBAKWA SUMBAWANGA...
Bweni la wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bomalang'ombe iliyoko wilayani Kilolo, mkoa wa Iringa. Ukosefu wa mabweni madhubuti kumekuwa kukichangia vitendo vya kubakwa kwa wanafunzi wa kike.Wanafunzi wa...
View ArticleALIYEKUWA AUAWE KESHOKUTWA AKUTWA KAJINYONGA JELA...
Billy Slagle.Muuaji anayekabiliwa na adhabu ya kifo Jumatano ya wiki hii, amekutwa amenyongwa kwenye selo yake Jumapili, Ohio alikokuwa akisubiria kutekelezwa kwa hukumu yake ya kifo, maofisa wa gereza...
View ArticleWANAFUNZI 9,000 WAKATALIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA ELIMU YA JUU...
Jengo la Nkrumah lililoko Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Mlimani.Wanafunzi 8,805 walioomba kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza katika vyuo vya elimu ya juu nchini, kwa mwaka wa masomo...
View ArticleMAKADA WATANO WA CHADEMA WAFUTIWA MASHITAKA YA UGAIDI...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Tabora, imefuta mashitaka ya ugaidi yaliyokuwa yakikabili makada watano wa Chadema na kubakiza mashitaka ya kummwagia tindikali kada wa CCM, Igunga, Musa...
View ArticleZANZIBAR WAIKATAA KODI YA LAINI ZA SIMU, SMZ YADAI HAIKUSHIRIKISHWA...
Mzozo wa kodi ya laini za simu, unaotarajiwa kumalizwa katika mkutano ujao wa Bunge, umefikia mwisho Zanzibar, baada ya wawakilishi kuikataa rasmi.Kabla ya kukataliwa na wawakilishi hao jana,...
View ArticleJOHN TENDWA ASTAAFU RASMI USAJILI WA VYAMA VYA SIASA...
John Tendwa.Baada ya misukosuko ya kisiasa ya hapa na pale na hasa kulalamikiwa na baadhi ya vyama vya siasa nchini, hatimaye Msajili wa Vyama hivyo, John Tendwa amestaafu utumishi wa umma.Nafasi yake...
View ArticleMJAMZITO AFA KWA KUANGUKIWA NA MTI AKIPUNGA UPEPO BUSTANINI...
Tawi hilo la mti lililochukua uhai wa mwanamke huyo mjamzito.Mwanamke mmoja mjamzito akifurahia siku nzuri kwenye benchi la bustani moja jijini New York amefariki dunia baada ya kuangukiwa na tawi la...
View ArticleMKENYA AACHIWA HURU KESI YA KUMTEKA DK ULIMBOKA...
Dk Stephen Ulimboka alipokuwa amelazwa MOI mara baada ya shambulio hilo.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwacha huru Raia wa Kenya, Joshua Muhindi (22) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumteka na...
View ArticleALAZWA HOSPITALINI KWA MIAKA 45 TANGU AKIWA MTOTO MDOGO...
Paulo Henrique Machado akiwa kitandani hospitalini hapo.Paulo Henrique Machado ametumia maisha yake yote akiwa hospitalini.Mtu huyo mwenye miaka 45 raia wa Brazil, ambaye mama yake alifariki siku mbili...
View ArticleAFARIKI BAADA YA KUNYWA GONGO SIKU MBILI MFULULIZO KATAVI...
Kamanda Dhahiri Kidavashari.Mkazi wa Mtaa wa Mpanda Hoteli mjini Mpanda, Aloyce Sali (32) amefariki dunia baada ya kunywa pombe haramu ya gongo kupita kiasi kwa siku mbili mfululizo bila kula...
View Article