Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA KIKE AJIUA KWA SUMU BAADA YA KUBAKWA SUMBAWANGA...

Moja ya aina za sumu ya panya.Mwanafunzi wa kidato cha nne, Flora Athanas (18) wa sekondari Mzindakaya wilayani hapa amejiua kwa sumu ya panya, baada ya kubakwa na mtu asiyefahamika.Kamanda wa Polisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKULIMA ATUHUMIWA KUWAUA WATOTO WAKE WAWILI KASULU...

Kamanda Fraiser Kashai.Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia mkulima mkazi wa kijiji cha Mvugwe, Kasulu, Thobias Majuto kwa kuua watoto wawili kwa makusudi.Akizungumza na mwandishi mjini hapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA AKUTANA NA BINTIYE ALIYEDHANI AMEKUFA MIAKA 45 ILIYOPITA...

Charles Lutzow (kulia) akiwa na binti yake, Keri Abercrombie.Baba mmoja wa Alabama ameungana na binti yake aliyepotea muda mrefu baada ya kuwa ameamini alikufa kwa takribani nusu karne.Charles Lutzow,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU VYUO VIKUU SASA WATENGEWA MABILIONI YA SHILINGI WAJIAJIRI...

Baadhi ya wahitimu wa moja ya vyuo vikuu hapa nchini.Wasomi watakaohitimu vyuo vya elimu ya juu nchini kuanzia mwaka huu watakopeshwa mabilioni ya fedha ili waanzishe miradi itakayowawezesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAJENTI WA KIKE ATIMULIWA KAZI KWA KUPIGA PICHA CHA UCHI KAZINI...

Penny Dane katika pozi tofauti.Sajenti wa polisi ameacha kazi baada ya uchunguzi kukuta picha zake akiwa uchi kwenye kompyuta yake ya kazi na mitandao ya ngono ambayo anadaiwa alikuwa akitazama wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IMEBAINIKA: USAIN BOLT HUZALISHA NISHATI MARA 50 ZAIDI YA RISASI INAPOFYATUKA...

Mwanariadha Usain Bolt akiweka pozi lake maarufu baada ya kushinda mbio.Bingwa wa Olimpiki Usain Bolt anazalisha nishati mara 50 zaidi ya ile ya risasi iliyofyatuka kutoka kwenye bunduki wakati wa moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

MATOKEO... Uganda 3 - Taifa Stars (Tanzania) 1.  Uganda imesonga mbele kwa jumla ya mabao 4-1.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM...

Joshua Nassari.Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za kumshambulia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAUSIBOI ALIYELAWITI BINTI WA MIAKA MINNE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA...

Mahakama  ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kijana, Baraka  Juma (22) mkazi wa kijiji cha Nkungwi  wilayani humo, kifungo cha maisha jela  baada ya kupatikana  na hatia  ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AWASHITAKI KWA RAIS KIKWETE WANAOKATAA FIDIA...

Dk John Magufuli.Serikali imeonya kuwa haitaruhusu watu wachache wakwamishe juhudi za Serikali za kuunganisha nchi na mtandao wa barabara za lami.Rais Jakaya Kikwete, alisema hayo jana katika eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MITUNGI YA GESI MAJUMBANI YADAIWA KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA KIENYEJI...

Mitungi ya gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Mitungi ya gesi ya kupikia kutoka kwenye kampuni zinazotambulika inadaiwa kuhujumiwa na baadhi ya watu kwa kuifungua na kupunguza malighafi hiyo kisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMA YA KESI YA RUSHWA DHIDI YA HAKIMU MKAZI ILALA KUJULIKANA LEO...

Pamela Kalala.Hatima ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Pamela Kalala  anayekabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya Sh milioni tatu, itajulikana leo Mahakama itakapotoa uamuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIFUNGUA MTOTO SAA 15 BAADA YA KUJIGUNDUA KUWA NI MJAMZITO...

Amanda Ross akiwa amembeba mwanae. Kushoto ni mumewe, Paul Dean.Mwanamke mmoja amejifungua mtoto wake wa kwanza masaa 15 tu baada ya kujigundua alikuwa mjamzito.Amanda Ross, mwenye miaka 41, alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENITEZ AFARIKI DUNIA KWA MARADHI YA MOYO...

KUSHOTO: Christian Benitez akifanya vitu vyake uwanjani. KULIA: Chritian Benitez.Mshambuliaji wa zamani wa Birmingham City, Christian Benitez amefariki ghafla kwa kile kinachodhaniwa matatizo ya moyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI WA 'MEMORY CARD' WAFYEKA MAISHA YA WANAWAKE 14 MARA...

Moja ya mitaa ya mkoani Mara.Ukatili mpya wa kijinsia unaojulikana kama ‘Memory Card’ umezuka mkoani Mara na kusababisha mauaji ya wanawake zaidi ya 14 katika kipindi cha kuanzia Desemba mwaka jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKENYA AHUKUMIWA KIFO KWA KUSAIDIA MAHARAMIA WA SOMALIA KUTEKA, KUUA WATALII...

KUSHOTO: Bi Judoth Tebbutt akiwa amedhoofu baada ya kuachiliwa huru. KULIA: Ali Babitu Kololo akivishwa pingu.Mfanyakazi wa hoteli moja jana alihukumiwa kifo nchini Kenya baada ya kutiwa hatiani kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOMMWAGIA TINDIKALI MAMA NA WANAWE HUKU WAKICHEKA WAFUNGWA MIAKA 44 JELA...

JUU: Yannick Ntesa. KATIKATI: Abdul Motin. CHINI: Ahad Miah. KULIA: Shule ya Msingi ya Upton Cross.Kundi moja ambalo lilikuwa likicheka huku wakimlowesha mwanamke mmoja kwa tindikali wakati mama huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AOZWA KWA NGUVU NA KUBAKWA NA KUNDI LA WANAUME SIKU YA HARUSI...

Waandamanaji wakiwa wameshikilia mabango kulaani vitendo vya ubakaji.Mwanamke wa India mwenye miaka 24 amelazimishwa kuolewa na kubakwa na kundi la wanaume kama adhabu ya 'heshima' baada ya kaka yake...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live