Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYAKAZI KIKONGWE ZAIDI DUNIANI? ANA UMRI WA MIAKA 92 NA BADO YUKO KAZINI...

Sara Dappen.Mwanamke mmoja kikongwe wa Iowa anaweza kuwa mfanyakazi wa mgahawa wa McDonald's mwenye umri mkubwa zaidi, na bado anaipenda kazi hiyo akiwa na umri wa miaka 92.Sara Dappen alizaliwa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KODI YA SHILINGI 1,000 KWA MWEZI SIMU ZA MIKONONI IKO PALE PALE...

Waziri wa Fedha, William Mgimwa, amesisitiza uamuzi wa Serikali kuendelea kutoza Sh 1,000 kwa kila mwezi kwa laini ya simu, licha ya kampuni za simu na wanasiasa kupinga.Akizungumza na mwandishi juzi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZAIDI YA &)% ZA ULINZI BINAFSI NCHINI NI BATILI...

Askari wa moja ya kampuni za ulinzi wakiwa kwenye gwaride kujiweka sawa.Licha ya kuwepo utitiri wa kampuni za ulinzi binafsi nchini, imeelezwa kuwa uanzishwaji wake umekiuka Katiba ya nchi na uwepo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUZA REDIO YAKE AWEZE KUPATA FEDHA ZA KUGHARIMIA NDOA...

Mkazi wa Mji Mpya, mjini hapa Charles Kanyemba (30), ameuza redio yake ili kumwezesha kupata fedha za kugharimia mavazi, pete ya harusi na kufunga ndoa na Honoratha Juma (28).Bwana harusi huyo  aliuza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI 'MASHUJAA' WALIOUAWA DARFUR KUAGWA RASMI JUMATATU IJAYO...

Majeneza yenye miili ya askari hao.Miili ya wanajeshi saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa jimboni Darfur, Sudan, itaagwa keshokutwa Dar es Salaam, imeelezwa.Taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI LA NAJMUNISA LAPASUKA GURUDUMU KISHA KUPINDUKA NA KUUA...

Kamanda David Misime.Watu wanne waliokuwa wanasafiri kwa basi la kampuni ya Najmunisa wamekufa papo hapo baada ya basi hilo lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupata ajali eneo la Mbande,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJIWA MWENYE HIRIZI AZUA KIZAAZAA OFISI ZA TAZARA MBEYA...

Njiwa aliyevishwa shanga na hirizi shingoni huku akiwa amebeba ujumbe wenye onyo kali juzi alisababisha taharuki kubwa katika ofisi za Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) zilizopo jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AZALIWA KABLA YA SIKU NA KULAMBA BINGO YA URAIA WA NCHI MBILI...

Mtoto Adam Alghoul.Mtoto Adam Alghoul ameanza maisha yake kwa safari ya ndege- na uraia wa nchi mbili.Mtoto huyo amekuja duniani kwenye sakafu ya kituo cha mwisho cha kimataifa  katika Uwanja wa Ndege...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONEA WA MADUKA YA HOME SHOPPING CENTER AMWAGIWA TINDIKALI USONI...

Moja ya maduka ya Home Shopping Center lililoko katikati ya jiji la Dar es Salaam.Mfanyabiashara maarufu nchini anayemiliki mtandao wa maduka ya vifaa vya nyumbani ya Home Shopping Center (HSC), Said...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIILI YA ASKARI SABA WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR YAWASILI DAR...

Miili ya askari hao ikishushwa kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JKN, Dar es Salaam jana.Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal jana aliongoza umati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YAVAMIA OFISI ZA TAKUKURU MBEYA KUMWOKOA MAMA YAO...

Katika tukio lisilo la kawaida, watu 15 wa familia moja juzi walivamia katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Mbeya  wakipinga hatua ya taasisi hiyo kumshikilia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAANZA KUUFYATA, SASA YASHUGHULIKIA KILIO CHA KODI ZA SIMU...

Profesa Makame Mbarawa.Wakati Serikali imeeleza nia yake ya kuangalia upya utozaji wa kodi ya kila mwezi kwenye laini za simu za mkononi, imeeleza pia mpango wa kufunga mtambo maalumu ili kubaini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ALIYEBAKWA AGEUZIWA KIBAO NA KUFUNGWA MIEZI 16 JELA...

KUSHOTO: Mandhari ya mji wa Dubai. KULIA: Marte katika mwonekano tofauti.Utambulisho  wa mwanamke raia wa Norway ambaye amehukumiwa kifungo cha miezi 16 jela kwa kutembea nje ya ndoa baada ya kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI WABAINI: ASILIMIA 48.3 YA WAZAZI TANZANIA WAMEBAMBIKIWA WATOTO...

Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali nchini imesema karibu nusu ya watu waliojitokeza kupima vinasaba (DNA) ili kubaini uhalali wa watoto wao, vipimo vimeonesha si wazazi halisi wa watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKONGWE ACHINJWA KATIKA UGOMVI WA KIWANJA SUMBAWANGA...

Mkazi  wa kijiji  cha Chombe  katika Bonde la Ziwa Rukwa  wilayani Sumbawanga, Costantine Samson 'Siwale' (60)  ameuawa kwa  kuchinjwa  na  mtoto wa kiume  wa  mdogo  wake  kutokana na  ugomvi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR KUAGWA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI DAR...

Miili ya askari hao ilipowasili jijini Dar es Salaam juzi.Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanatarajiwa kuagwa leo kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAUME SITA WALIOMBAKA MTALII WA USWISI WAFUNGWA MAISHA JELA...

Mahakama ya India juzi imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaume sita waliopatikana na hatia ya kumbaka mwanamke raia wa Uswisi, katika moja kati ya kesi kadhaa za hivi karibuni ambazo zimechochea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAMTAKA MWENZAKE NA LWAKATARE 'KUFUNGA MDOMO'...

Ludovick Joseph.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwonya mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, Ludovick Joseph, kutozungumza na vyombo vya...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live