Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHUJAA SABA WALIOKUFA DARFUR KUREJESHWA NYUMBANI WIKI HII...

Miili ya askari hao ikiwa imewekwa tayari kusafirishwa kwenda mjini Khartoum.Miili ya wanajeshi saba waliouawa katika shambulio la kuvizia katika jimbo la Darfur nchini Sudan Jumamosi iliyopita,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI BUXTON CHIPETA AFARIKI DUNIA...

Jaji Buxton Chipeta.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania, Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji...

View Article


MWENYEKITI WA HALMASHAURI AANGUKA CHOONI NA KUFARIKI...

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Laurent Hoya, amefariki dunia ghafla jana alfajiri baada ya kuanguka chooni.Kifo hicho kimetokea nyumbani kwa marehemu Nkuhungu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZAHA WA LEO...

************************************Pata pesa mkeo ajue tabia zako. Kosa pesa ujue tabia za mkeo!************************************

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSICHANA AKATWA VIPANDE NA PAPA WAKATI AKIOGELEA BAHARI YA HINDI...

Papa wakikiwa kwenye mawindo baharini.Msichana mmoja 'amekufa papo hapo' baada ya kuchanwa nusu kwa nusu na papa wakati akicheza mchezo wa kuelea juu ya maji karibu na ufukwe katika kisiwa cha maraha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA MANDELA KUADHIMISHWA KESHO KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR...

Mzee Nelson Mandela.Ubalozi wa Afrika Kusini nchini, umepanga kuadhimisha Siku ya Mandela Duniani kesho, kwa kushiriki shughuli mbalimbali za jamii katika kituo cha watoto yatima cha Maria Theresa Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI ABSALOM KIBANDA HATIMAYE AZUNGUMZIA MKASA WAKE...

Absalom Kibanda.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini Tanzania (TEF), Absalom Kibanda amesema  zipo taarifa  mbalimbali za kutaka kupotosha ukweli kuhusu yeye, lakini ukweli utabaki kuwa kweli na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI SASA KUHAKIKI UPYA VYETI VYA WATUMISHI WAKE...

Balozi Ombeni Sefue.Serikali imeanzisha mfumo mpya wa kukusanya takwimu zote za kila mtumishi wa umma, ili kupata taarifa zote sahihi na kuhakikisha vyeti vinavyotumiwa na watumishi hao ni sahihi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASICHANA WANNE WATEKWA NA KUBAKWA NA KUNDI LA WANAUME 20 WENYE SILAHA...

Baadhi ya washiriki wa maandamano makubwa kulaani vitendo vya ubakaji nchini India.Msako wa nchi nzima umeanza nchini India baada ya wasichana wanne wadogo kutekwa nyara kutoka kwenye nyumba kulelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI LA PRINCESS MURO LAWAKA MOTO LIKIWA NA ABIRIA 50 TABORA...

Moja ya ajali zilizowahi kuhusisha mabasi ya Princess Muro mkoani Tabora.Abiria zaidi ya 50 wilayani Nzega mkoani Tabora wamenusurika kupoteza maisha baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuungua moto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 22 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KULA CHAKULA CHENYE SUMU SHULENI...

Baadhi ya watoto hao wakipatiw huduma hospitalini jana.Takribani watoto 22 wamekufa na wengine wengi wanaumwa baada ya kula chakula cha bure shuleni mchana ambacho kulichanganyika na dozi kubwa ya dawa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIBA ASILIA YAIACHA MIDOMO WAZI NIMR KATIKA UKIMWI...

Dk Julius Massaga akifafanua jambo.Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Dawa za Binadamu (NIMR), imepokea dawa asili ambayo sasa inaonesha matumaini mazuri katika kukabiliana na virusi vinavyosababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MANDELA ASHEREHEKEA MIAKA 95 LEO HUKU AKIWA HOI HOSPITALINI...

Baadhi ya raia wa Afrika Kusini wakiwasha mishumaa kama ishara ya kumwombea afya njema Mzee Mandela.Afrika Kusini leo wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa kwa Mzee Nelson Mandela huku rais huyo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOUA ASKARI SABA WA TANZANIA MJINI DARFUR SASA WAWASHIWA MOTO...

Askari wakipakia miili ya askari hao wa Tanzania kwenye lori tayari kwa kuisafirisha.Rais Jakaya Kikwete amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Sudan, Omar Bashir, kuhusu kuuawa na kujeruhiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SISTA KATOLIKI ABAKWA NA KUNDI LA WANAUME WATATU WIKI NZIMA...

Sista aliye mafunzoni ametekwa na kubakwa kwa wiki nzima na kundi la wanaume watatu katika kile kinachohisiwa kuwa ni shambulio la kulipiza kisasi, vyombo vya habari nchini India vimeripoti.Sista huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAJITOA KUWANIA UMEYA WA ARUSHA...

Maelfu ya wafuasi wa Chadema wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni za udiwani za chama hicho Arusha.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuachana na kuwania umeya wa Jiji na badala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFYA YA MZEE MANDELA ANGALAU, SASA AMEANZA HATA KUTAZAMA TELEVISHENI...

Mzee Nelson Mandela.Wakati dunia ikisherehekea miaka 95 ya Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela jana, hali ya kiongozi huyo imezidi kutia matumaini ambapo binti yake, Zindzi Mandela, amesema...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live