WAMA YATAFUTA 'DAWA' KWA MILA KANDAMIZI
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Segal Family Foundation imeingia mkataba wa kufanya kazi na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama) kuhakikisha jamii iliyosahaulika, inapata huduma muhimu.Wama...
View ArticleCUF KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA BAADA YA MFUNGO
Chama cha Wananchi ( CUF) kinatarajia kuanza kufanya mikutano ya hadhara ya kuhamasisha shughuli za chama hicho mkoani Mtwara mara baada ya mfungo mtukufu wa Ramadhani.Hatua hiyo, ya CUF itakuwa ni...
View ArticleDAR YATOA SHILINGI MILIONI 7 KWA WAJASIRIAMALI
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Mipango Miji imetoa Sh milioni saba, kama mikopo kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali.Hayo yalisemwa na Ofisa Maendeleo wa Jiji, Magreth Mazwile...
View ArticleKERO ZA MAJI ZAMPELEKA PROFESA MAGHEMBE INDIA
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe anatarajia kwenda nchini India ili kutoa shukrani kwa Serikali ya nchi hiyo pamoja na kuishawishi kupanua ufadhili na mikopo yake katika miradi ya maji nchini...
View ArticleWIZARA YASISITIZA PROGRAMU YA KIFUNGO CHA NJE
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa Jamii imesema ili urekebishaji wa wahalifu chini ya programu ya kifungo cha nje ufanikiwe, Serikali ichukue hatua za makusudi kueneza utekelezaji...
View ArticleRASIMU SERA YA DIASPORA KATIKA HATUA ZA MWISHO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Rasimu ya Sera ya Diaspora iko kwenye hatua za mwisho za maandalizi na muda si mrefu, itaingizwa kwenye utaratibu wa Kiserikali ili iweze kuwasilishwa kwenye Baraza...
View ArticleWANASWA KWA TUHUMA YA KUIBA MAJI YA DAWASA
Wakazi watatu wa Dar es Salaam jana walikamatwa na polisi kwa tuhuma ya kujiunganishia maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kinyume cha sheria.Walikamatwa mbele ya Naibu...
View ArticleMTUHUMIWA WA TINDIKALI ZANZIBAR ATIWA MBARONI
Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Mtu huyo anatuhumiwa kuhusika na tukio la...
View ArticleMFUMO WA UTAWALA TAZARA KUFUMULIWA
Serikali za Tanzania na Zambia zimedhamiria kufanya mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika Reli ya Mamlaka ya Tanzania na Zambia (TAZARA), kutoka mfumo wa awali kwenda wa kibiashara ili iweze...
View ArticleVIGOGO WA JUU MAMLAKA YA BANDARI WAPANDISHWA KIZIMBANI DAR
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya...
View ArticleArticle 16
Baadhi ya wakazi wa Mwananyamala na maeneo ya jirani wakihaha kuzima moto uliokuwa ukiwaka na kuteketeza maduka kadhaa katika eneo la Mwananyamala 'A', jijini Dar es Salaam mapema leo.
View ArticleArticle 15
Wasamaria wakihangaika kuzima moto huku wengine wakijaribu bila mafanikio kuokoa mali baada ya moto huo unaoaminika kusababishwa na hitilafu ya umeme kuteketeza maduka kadhaa eneo la Mwananyamala 'A'...
View ArticleArticle 14
Moto ukiwa umeshamiri huku baadhi ya wafanyabiashara wakijaribu kuokoa mali leo eneo la Mwananyamala 'A'. Hakuna aliyeripotiwa kujeruhiwa ama kupoteza maisha kutokana na mkasa huo.
View ArticleArticle 13
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa wakati moto uliozuka ghafla ulipoteketeza maduka kadhaa na mali zilizokuwamo ndani yake eneo la Mwananyamala 'A', jijini Dar es Salaam mapema leo. Chanzo cha moto huo...
View ArticleWAFANYAKAZI WA VODACOM WAPEWA 'KINGA' YA AJALI
Kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua kampeni maalumu ya kuhamasisha wafanyakazi wake kuhakikisha uendeshaji wa magari na vyombo vingine vya moto ili kulinda afya na usalama wao wawapo...
View ArticleWASTAAFU TAZARA WALALMIKIA MALIPO KIDUCHU
Wastaafu wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamelalamikia uongozi wa shirika hilo kwa kulipa malipo yao kwa kufuata utaratibu ambao hautambuliwi na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali...
View ArticleWAFANYABIASHARA WATEGEWA MAWE MAKUBWA BARABARANI NA KUPORWA
Wafanyabiashara 30 wameporwa fedha taslimu na vitu vyao vya thamani vinavyokadiriwa kwa pamoja kuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 20 wakati lori walilokuwa wakisafiria lilipovamiwa na...
View ArticleVIFAA VYA KUZIMA MOTO BILA MAJI VYAGHARIMU SHILINGI MILIONI 200
Kikosi cha Zimamoto na uokoaji nchini, kimenunua vifaa 100 vitakavyosaidia kuzima moto bila kutumia maji vyenye thamani ya Sh milioni 200.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati...
View Article