KESI YA WALIOKUTWA NA BOMU YAAHIRISHWA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Julai 29 mwaka huu kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kukutwa na bomu bila kibali, inayowakabili watu wanne. Washitakiwa katika...
View ArticleJAJI KADURI AJITOA KESI YA MAUAJI YAPROFESA JWANI MWAIKUSA
Jaji Lawrence Kaduri wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya watu watatu akiwemo aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha...
View ArticleWANANE WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI KAGERA
Polisi mkoani Kagera inashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji yaliyofanyika Wilaya za Bukoba na Missenyi.Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Henry Mwaibambe alisema kuwa matukio hayo yalitokea Juni 14...
View ArticleMFUKO WA AFYA KUCHANGIWA SHILINGI BILIONI 108.5
Wadau wa Maendeleo watachangia Sh bilioni 108.5 kwa ajili ya Mfuko wa Afya kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2014/15.Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya kusaini makubaliano, Katibu Mkuu...
View ArticleVIJEMBE NA MIPASHO VYATIBUA ZIARA YA WAZIRI
Ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kukagua miradi ya maji jijini Dar es Salaam, jana iliingia dosari, kutokana na vitendo vya baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleMAHAKAMA YAMSAKA PADRI ANAYEDAIWA KULAWITI MTOTO WA MIAKA 17
Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, limeshindwa kusikiliza rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyomwachia huru Padri wa Kanisa Katoliki, Sixtus Kimaro...
View ArticleCHADEMA YATULIZA WANANCHI, YAAHIDI KATIBA MPYA ITAPATIKANA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticleSARUJI TANGA, TANESCO WAKUBALIANA UMEME WA PONGWE
Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL) imeingia makubaliano ya kuuziana umeme na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wa kiwango cha MVA 40 katika kituo chake cha Pongwe mjini Tanga.Akizungumza katika hafla ya...
View ArticlePOLISI YATUMIA MABOMU KUTULIZA GHASIA
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia zilizoibuka baina ya wakazi wa eneo la Bahari-Motors, Kijitonyama, wilayani Kinondoni jijini hapa.Ghasia hizo zilitokana na...
View ArticleMOTO WATEKETEZA NYUMBA NA MADUKA DAR
Nyumba moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam juzi.Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...
View ArticleWIVU WA MAPENZI, UROHO WA MALI WASABABISHA MAAFA RUKWA
Watu watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi.Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe...
View ArticleALIYEIBA MTOTO KUOKOA NDOA AHUKUMIWA MWAKA MMOJA JELA
Mkazi wa kijiji cha Kisumba, Manispaa ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18) ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga wa kiume kwa lengo...
View ArticleSITA MBARONI KWA KUSAFIRISHA MENO YA TEMBO YA MILIONI 228.8/-
Watu sita jana walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma wakikabiliwa na mashtaka matatu, ikiwemo kujihusisha na biashara ya kusafirisha na kuuza meno ya tembo ambapo walikamatwa wakiwa na...
View ArticleKAIRUKI ATAKA MAELEKEZO YA MAHAKAMA YATEKELEZWE
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema ipo haja ya kuwepo kwa usajili wa ufuatiliaji wa matunzo ya watoto ili kwamba maelekezo yanayotolewa na mahakama yaweze kutekelezwa kama...
View ArticleMKATABA WA GESI STATOIL NA SERIKALI HADHARANI
Serikali imeondoa utata unaohusu mkataba wa gesi wa nyongeza baina yake na kampuni ya Norway ya Statoil, kwa kuanika wazi mgawanyo unaoonesha Tanzania itapata faida kubwa ya asilimia 61 wakati kampuni...
View ArticleMWANAFUNZI BORA MASOMO YA SAYANSI AFICHUA SIRI YAKE
Mmoja wa wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sayansi, Isaack Shayo ameweka wazi mbinu alizozitumia kufanikisha ufaulu wake .Akizungumza na gazeti hili jana nyumbani kwao jijini Dar...
View ArticleWATANZANIA KUPELEKWA CANADA KUJIFUNZA GESI NA MAFUTA
Serikali ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.Hayo...
View Article