$ 0 0 Baadhi ya wakazi wa Mwananyamala na maeneo ya jirani wakihaha kuzima moto uliokuwa ukiwaka na kuteketeza maduka kadhaa katika eneo la Mwananyamala 'A', jijini Dar es Salaam mapema leo.