Article 18
Mchezaji wa Uholanzi, Georginio Wijnaldum (kulia) akishangilia na mwenzake, Jonathan de Guzman baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Brazil kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa...
View ArticleTIC YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI 214
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), itaendelea kutoa mafunzo ya Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (SMEs) ili kuboresha zaidi mahusiano ya kibiashara na wafanyabiashara wakubwa na...
View ArticleVIONGOZI CCM ZANZIBAR WAPEWA SOMO
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama...
View ArticleWALIMU KUNUFAIKA NA MRADI WA STHEP
Walimu nchini watanufaika kwa mara nyingine kwa kusomeshwa na Serikali katika masomo ya ngazi mbalimbali ikiwemo uzamili na uzamivu katika awamu ya pili ya Mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu...
View ArticleWANAKIJIJI WALIA NA OPERESHENI TOKOMEZA
Wakazi 30 wa Kijiji cha Kegonga Kata ya Nyanungu Tarafa ya Ingwe Wilayani TarimeMkoa wa Mara, wamedai kuwa wanadai fidia ya zaidi ya Sh milioni 100 kutokana na mifugo yao kuuawa.Wanadai mifugo hao...
View ArticleRC AONYA WANAOHARIBU CHANZO CHA MAJI NTOMOKO
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi amepiga marufuku shughuli zote zinazohatarisha chanzo cha maji cha kihistoria cha Ntomoko kinachohudumia vijiji takribani 17 vya Wilaya ya Kondoa na...
View ArticleNSSF YATISHIA KUIFIKISHA KORTINI KAMPUNI YA ULINZI
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani hapa, umetoa siku 14 kwa Kampuni ya Ulinzi ya Fodey, iliyopo eneo la Uzungua Manispaa ya Arusha, kulipa deni la michango ya wafanyakazi wake zaidi ya Sh milioni...
View ArticleDK SHEIN ASIFU UHUSIANO WA ZANZIBAR NA MSUMBIJI
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar na nchi ya Msumbiji zina kila sababu ya kujivunia uhusiano baina yao uliowaweka karibu wananchi wa pande zote mbili na kujenga upendo na urafiki...
View ArticleWAZIRI KUTEMBELEA ASASI ZA KISHERIA DAR
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki anafanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo katika Jiji la Dar es Salaam kutembelea asasi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa...
View ArticleMADIWANI WAENDESHA VIKAO KWA MKOPO
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamesema halmashauri hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha unaosababisha vikao vyao kuendeshwa kwa mkopo na kuhatarisha miradi ya...
View ArticleJK AOMBA MADHEHEBU KUOMBEA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Rais Jakaya Kikwete amezitaka taasisi za dini, kuendelea kuiombea Serikali, vyama vya siasa na mchakato wa Katiba mpya ili taifa liweze kupata Katiba mpya na bora kwa amani.Alitoa wito huo wakati...
View ArticleMDOMO WAMPONZA KAFULILA, ADAIWA FIDIA SHILINGI BILIONI 310
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe...
View ArticleSUPER MARIO WINS THE WORLD CUP FOR GERMANY
Mario Goetze struck a wonderful extra-time winner as Germany beat Argentina 1-0 to claim the 2014 World Cup at the Estadio Maracana.The Bayern Munich came off the bench to coolly chest and volley home...
View ArticleArticle 3
Kiungo Mario Gotze akiifungia Ujerumani bao pekee lililoipa ushindi timu yake dhidi ya Argentina katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia iliyomalizika muda mfupi uliopita kwenye Uwanja wa Maracana.
View ArticleArticle 2
Wachezaji wa Ujerumani wakimpongeza mwenzao, Mario Gotze baada ya kuifungia timu yao bao la ushindi dhidi ya Argentina na kutwaa Kombe la Dunia sambamba na kunyakua zawadi ya kitita cha Dola za...
View ArticleArticle 1
Mshambuliaji na nahodha wa timu ya Argentina, Lionel Messi akiwatoka mabeki wa Ujerumani katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia iliyochezwa Uwanja wa Maracana usiku huu. Ujerumani ilishinda bao 1-0...
View ArticleArticle 0
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia Kombe la Dunia walilofanikiwa kutwaa baada ya kuwachapa Argentina kwa bao 1-0 lililofungwa dakika ya 116 ya muda wa nyongeza na Mario Gotze kwenye mechi ya fainali...
View ArticleVITA FOAM YAPATA CHETI CHA UBORA
Kampuni ya Vita Foam Tanzania Limited imepata cheti cha uthibitisho pamoja na alama za ubora wa kimataifa kutokana na kutimiza viwango vya usimamizi wa ubora vinavyotambulika kimataifa.Akizungumza na...
View Article