HOSPITALI YA MKOA INA DAKTARI BINGWA MMOJA TU
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kagera inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa saba, hali inayotajwa kuchangia huduma kusuasua hivyo kuongezeka kwa malalamiko kutoka kwa wagonjwa. Mganga Mfawidhi...
View ArticleMAFANIKIO SEHEMU NDOGO YA GESI YAWEKWA HADHARANI
Utafiti zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani.Taarifa ya Hali ya Uchumi wa...
View ArticleDAWASA YAPANUA MTAMBO RUVU JUU, YAJENGA CHUJIO
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam imeanza upanuzi mkubwa wa mtambo wa Ruvu Juu, ikiwemo kujenga chujio mpya.Upanuzi wa mtambo huo utakapokamilika, utaongeza uzalishaji kutoka lita...
View ArticleNYUMBU WAOMBA MSAADA WA KUIMARISHWA
Serikali imetakiwa kuiwezesha Taasisi ya Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) maarufu kama Nyumbu ili waweze kutengeneza magari na vifaa mbalimbali hapa nchini vyenye ubora...
View ArticleZEC YAHIMIZA WANAWAKE KUJITOKEZA KUGOMBEA UONGOZI
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetaka wanawake kushiriki katika mchakato wa uchaguzi kuanzia ngazi mbali mbali na kugombea katika nafasi za juu za uongozi katika vyama vya siasa.Imeelezwa kuwa hatua...
View ArticleSIDO YAANIKA UBUNIFU WAKE KUKUZA KILIMO
Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO), limesema dhamira kuu katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam ni kutoa muamko kwa wajasiriamali kwa kuonesha utaalam katika suala la...
View ArticleTRA WAOMBA NGUVU ZA WASANII KUFANIKISHA UDHIBITI
Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imewataka wasanii kushirikiana nao katika operesheni waliyoanzisha kuhakikisha wanadhibiti watu wanaodurufu kazi zao ili ziweze kurudi kwenye mstari na kupata...
View ArticleUMATI YATANUA UWIGO WAKE WA HUDUMA
Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI), kimeandaa mikakati ya kuyafikia makundi mengi zaidi katika utoaji wa huduma yakiwemo makundi ya watu wanaofanya biashara ya ukahaba.Akizungumza na...
View ArticleIPTL YATOA MILIONI 14.5/- KUSAIDIA UJENZI WA KANISA
Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imetoa msaada wa Sh milioni 14.5 kwa Jumuiya ya Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu...
View ArticlePUMBA ZA MCHELE ZATUMIKA KUTENGENEZA MATOFALI
Pumba za mchele zimebainika zikichanganywa na saruji kidogo, zina uwezo wa kutengeneza matofali imara. Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), umebaini hayo kupitia...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.4
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi Juni umepungua hadi asilimia 6.4 kutoka asilimia 6.5 ilivyokuwa mwezi Mei mwaka huu.Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya...
View ArticleWALIOMUUA SISTA WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA WIZI BARCLAYS
Watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Sista Cresencia Kapuli na kumpora Sh milioni 20, jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479...
View ArticleWANAFUNZI WATUPWA JELA MIAKA SITA KWA MAUAJI YA MWALIMU WAO
Vijana wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la...
View ArticleHIVI NDIVYO MGAHAWA ULIVYOPIGWA MABOMU ARUSHA
Watu wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine,...
View ArticleGERMANY TEAR BRAZIL TO PIECES WITH GREATEST EVER SEMI-FINAL DISPLAY
Brazil suffered the worst defeat in their footballing history as they were crushed 7-1 by Germany in the World Cup semi-final in Belo Horizonte.As well as being Brazil's heaviest ever defeat -...
View ArticleKLOSE SCORES 16TH WORLD CUP GOAL TO BREAK ALL-TIME RECORD
Germany striker Miroslav Klose scored after 23 minutes of the World Cup semi-final against Brazil on Tuesday to become the tournament's all-time leading scorer with 16 goals.Klose had moved level with...
View ArticleArticle 2
Ubao wa matokeo uwanja ukiosomeka Brazil 1 - Ujerumani 7 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana.
View ArticleArticle 1
Benchi la ufundi la Brazil likiongozwa na Meneja Luis Fellipe Scolari wakimbembeleza mmoja wa wachezaji wa timu hiyo aliyekuwa akibubujikwa machozi baada ya kipigo cha mabao 7-1 walichokipata kutoka...
View Article