HELIKOPTA WALIYOPANDA MAKAMU WA RAIS, RC DAR NA KAMANDA KOVA YAANGUKA
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal, Kamanda wa Kanda Maalumu Suleiman Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik na maofisa kadhaa wa...
View ArticleArticle 21
Gari la Kikosi cha Zimamoto mara baada ya kuzima dalili zozote za kutokea moto baada ya helikopta waliyopanda Makamu wa Rais, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Kamanda wa Kanda Maalum kuanguka Uwanja wa...
View ArticleArticle 20
Askari wa Zimamoto wakizima moto kwenye helikopta ya polisi waliyopanda viongozi mbalimbali mchana wa leo baada ya kuanguka uwanja wa JKN.
View ArticleArticle 19
Viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick na kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman...
View ArticleAZAM FC YATWAA UBINGWA LIGI KUU YA VODACOM
Hatimaye baada ya miaka kadhaa ya kuishia kushika nafasi ya pili, timu ya soka ya Azam imetawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbeya City mabao 2-1 katika mchezo...
View ArticleMZEE MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo amefariki dunia leo mchana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.Gurumo ambaye alikuwa...
View ArticleHUYU NDIYE MZEE MUHIDINI GURUMO NILIYEMFAHAMU
Mzee Muhidin Gurumo akivishwa beji na Rais Jakaya Kikwete katika kuonesha kuutambua mchango wa mzee huyo katika fani ya muziki wa dansi.Nyota imezimika. Mbuyu umeanguka. Ndivyo unavyoweza kukielezea...
View ArticleArticle 15
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kulia) pamoja na Mbunge mteule wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete wakati wakikagua uharibifu uliofanywa na mafuriko...
View ArticleArticle 14
Wajane wa Marehemu Edward Moringe Sokoine, Mama Napono Sokoine (kushoto) na Nakiteto Sokoine, wakiweka shada ya maua katika kaburi la Marehemu Edward Moringe Sokoine huko nyumbani kwao Monduli Juu.
View ArticleArticle 13
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Edward Sokoine.
View ArticleASKOFU ATAKA KATIBA YA ZANZIBAR IFANYIWE MAREKEBISHO
Askofu wa Jimbo Teule la Dodoma la Kanisa la Methodist, Joseph Bundala amesema ili kudumisha Muungano ni vyema Katiba ya Zanzibar irekebishwe.Alisema anaomba katiba hiyo irekebishwe ili iwepo katiba...
View ArticleUWANJA WA NDEGE DAR WAZINGIRWA MAJI
Vikosi vya Zimamoto vya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jana vilikuwa na kazi ya kuondoa maji yaliyotokana na mvua yalioyokuwapo uwanjani hapo.Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
View ArticleMVUA YAKWAMISHA ABIRIA WA MIKOANI MASAA 12 NJIANI
Mvua iliyoanza kunyesha mwishoni mwa wiki, imeendelea kuleta kizaazaa katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo kusababisha maelfu ya abiria kukwama kusafiri kati ya Dar es Salaam na mikoa mingine...
View ArticleMVUA YA MAWE YAKOSESHA MAKAZI KAYA 65 KAHAMA
Familia zaidi 65 hazina mahali pa kuishi katika kijiji cha Kabondo kata ya Mwanase wilayani Kahama mkoani Shinyanga.Hali hiyo inatokana na nyumba zao kusombwa na mvua ya mawe, iliyoambatana na upepo...
View ArticlePOLISI TABORA WAKANUSHA KUMUUA MKUYA
Polisi mkoani Tabora imekanusha kuhusika na mauaji ya Mbeyu Mkuya (35), kama inavyodaiwa na ndugu wa marehemu huyo.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo habari mjini hapa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
View ArticleMAGUFULI AAGIZA MATENGENEZO YA HARAKA DARAJA LA MPIJI
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads), kuharakisha matengenezo ya barabara karibu na Daraja la Mpiji ili kurejesha mawasiliano kati ya Dar es Salaam na...
View Article