MZINDAKAYA AULIPUA UMOJA WA KATIBA YA WATANZANIA BUNGENI
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya ameutupia kombora Umoja wa Katiba ya Watanzania - nje ya Bunge Maalumu (Ukawa-nje) kwa kuzungumzia mjadala wa katiba nje ya Bunge Maalumu na kuita...
View ArticleWASOMI WAPINGA MUUNDO WA SERIKALI TATU
Wasomi wamepinga muundo wa Serikali tatu na kusisitiza zibaki Serikali mbili, huku maandalizi yakifanyika kuelekea Serikali moja. Wameeleza hayo kupitia Kitabu cha Katiba Bora Tanzania walichokiandika,...
View ArticleKAMATI SITA BUNGE LA KATIBA ZASHINDWA KUWASILISHA TAARIFA ZAO
Kamati sita kati ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimeshindwa kuwasilisha taarifa zao kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu tayari kwa ajili ya kuwasilishwa bungeni leo.Jana, Makamu Mwenyekiti wa...
View ArticleWASOMI WAPINGA MUUNDO WA SERIKALI TATU
Wasomi wamepinga muundo wa Serikali tatu na kusisitiza zibaki Serikali mbili, huku maandalizi yakifanyika kuelekea Serikali moja.
View ArticleKAMATI SITA BUNGE LA KATIBA ZASHINDWA KUWASILISHA TAARIFA ZAO
Kamati sita kati ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimeshindwa kuwasilisha taarifa zao kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu tayari kwa ajili ya kuwasilishwa bungeni leo.
View ArticleMZINDAKAYA AULIPUA UMOJA WA KATIBA YA WATANZANIA BUNGENI
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya ameutupia kombora Umoja wa Katiba ya Watanzania - nje ya Bunge Maalumu (Ukawa-nje) kwa kuzungumzia mjadala wa katiba nje ya Bunge Maalumu na kuita...
View ArticleMAJANGILI HIFADHI YA RUAHA SASA KUKIONA CHAMOTO
Tembo wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha watafungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wao, hizo zikiwa ni harakati za ziada za serikali na wadau wake, kunusuru wanyama hao dhidi ya majangili wanaosaka...
View ArticleMAPYA YAIBUKA NDEGE ILIYOPOTEA, RUBANI ALIPIGA SIMU ANGANI
Rubani msaidizi wa ndege iliyopotea namba MH370 alipiga simu yake ya mkononi wakati ndege ikiruka chini chini kupita pwani ya magharibi mwa Malaysia.Wachunguzi wamegundua kwamba simu hiyo ilipigwa...
View ArticleMAFURIKO YASOMBA NYUMBA, MADARAKA NA KUUA WATATU DAR
Mvua iliyonyesha juzi na jana, ikiambatana na upepo mkali katika mikoa mbalimbali nchini, imeleta madhara na kusababisha vifo vya watu kadhaa.Jijini Dar es Salaam, nyumba nyingi zimebomolewa na...
View Article'MUUNGANO HAUKUWA UAMUZI WA NYERERE NA KARUME'
Bunge Maalumu la Katiba limeelezwa kuwa si kweli kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania, haukuwa na ridhaa ya wananchi kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.Badala yake, Bunge...
View ArticleMVUA YASABABISHA NDEGE YA KENYA AIRWYS KUACHA NJIA DAR
Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, jana zilifika mbali zaidi kwa kuikumba pia ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways).Zaidi ya abiria 55 wa ndege hiyo walinusurika...
View ArticleMAMBO 10 USIYOYAFAHAMU KUHUSU RAIS ROBERT MUGABE
Robert Mugabe, mwenye miaka 89, bila shaka ni mtu mtata, lakini mengi yanayofahamika ni yale yanayohusiana na maisha yake hadharani. Yote katika maisha yake ya utotoni na ukubwani yameshehenezwa na...
View ArticleHIZI NDIZO AJALI MBAYA ZAIDI 10 KUWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA
Uchunguzi unaendelea kuisaka ndege ya Malaysian Airlines MH370, ambayo ilipoteza mawasiliano yote na vituo vya kuongozea ndege ikiwa angani kati ya Kuala Lumpur na Vietnam. Siri ya kupotea kwake...
View ArticleArticle 6
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
View ArticleArticle 5
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye Barabara ya Kinondoni, Dar es Salaam katika lango la kuingilia Ubalozi wa India.
View ArticleArticle 4
Wakazi wa Dar es Salaam wakilazimika kutembea kufuatia mabasi kushindwa kufika katikati ya jiji kufuatia barabara nyingi na madaraja kusombwa na maji.
View ArticleArticle 3
Wakazi wa Dar es Salaam wakitembea kwenye maji kufuatia barabara kufurika maji.
View Article