SERUKAMBA AWEKWA KITI MOTO MBELE YA KINANA
Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba amejikuta katika wakati mgumu kwenye mkutano wa Halmashauri ya CCM wilaya ya Kigoma Mjini, baada ya kudaiwa na baadhi ya wajumbe kwamba hana ushirikiano na...
View ArticleVIBINDO WATAKA ADA ZA LESENI ZIONDOLEWE
Jumuiya ya Vikundi vya wenye Viwanda na Biashara Ndogo Tanzania (Vibindo), wameitaka Serikali kuondoa ada za leseni au kuzipunguza kufikia viwango ambavyo vitaruhusu biashara hizo kukua.Mwenyekiti wa...
View ArticleTLTC YASHINDA TUZO YA KAMPUNI BORA
Kampuni ya Tumbaku TanzaniaĀ (TLTC) yenye makao yake makuu mjini Morogoro,Ā jana ilitangazwa kuwa Kampuni bora ya mwaka 2014 kwenye tuzo za heshima za Uluguru (Uluguru Awards), zilizofanyika mjini...
View ArticleWAKULIMA WA MIWA KUPATIWA HATI ZA KIMILA
Serikali kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali wa BiasharaĀ (MKURABITA) itatumia zaidi ya Sh milioni 60 kuwapatia wakulima wadogo wa miwa hati za kimila katika vijiji 10 vilivyopo Wilaya za...
View ArticleMWANAMKE ALIYECHOKA KUISHI ASAIDIWA KIFO AKIWA NA MIAKA 99
Mwanamke wa pili wa Kiingereza ambaye 'alichoka kuishi' amesaidiwa kufa kwenye kliniki ya kujitoa mhanga nchini Uswisi.Mwanamke huyo, ambaye alikuwa na umri wa miaka 99 akitokea London, hakuwa mgonjwa...
View ArticleMZEE MUHIDIN GURUMO KUZIKWA KESHO KIJIJINI KWAKE KISARAWE
Waombolezaji wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa marehemu Muhidin Gurumo maeneo ya Mabibo Makuburi, Dar es Salaam.Mke wa marehemu Gurumo (kulia) akifarijiwa na baadhi ya jamaa zake kwenye msiba wa mumewe...
View ArticleArticle 20
AbiriaĀ wakiwa katika kituo cha mabasi Ubungo Dar es Salaam wakisubiri usafiri wa kwenda mikoani baada ya safari zinazotumia njia hiyo kusitishwa kufuatia barabara eneo la Daraja la Mto Ruvu, mkoani...
View ArticleArticle 19
Madereva wa bodaboda wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza wakisubiria abiria. Usafiri huo umezidi kuwa maarufu wilayani humo kutokana na unafuu wa nauli ukilinganisha na aina nyingine za usafiri.
View ArticleArticle 18
Wakazi wa Dar es Salaam wakitoka upande wa Magomeni kuelekea katikati ya jiji kwa miguu kupitia eneo la Jangwani baada ya barabara hiyo kufungwa kwa matumizi ya magari kutokana na uharibifu...
View ArticleArticle 17
Askari kanzu wa Dar es Salaam wakiwa wamemdhibiti Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Hamisi Andrew ambaye alijaribu kumwimbia mtalii kutoka China, Hao Shen kabla ya Mchina huyo kumdhibiti kijana huyo...
View ArticleArticle 15
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), Balozi Hubert E. Mrango (kulia) baada ya uzinduzi wa bodi hiyo...
View ArticleArticle 14
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga akiongea na vijana wa kujitolea wakati alipofungua semina yao ya siku tano jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni...
View ArticleArticle 13
Mkurugenzi wa udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Tumaini Mtiti akizungumza na waabndishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana shughuli mbalimbali za shirika hilo katika udhibiti wa...
View ArticleArticle 12
Mkazi wa eneo la Kigogo Jijini Dar es Salaam akibeba chaga ya kitanda kuelekea mahali ambako hakutaka kueleza mara moja, baada ya kuchoshwa na mazingira magumu ya kuishi eneo hilo kutokana na adha ya...
View ArticleWALIOPATA DIVISHENI 1 HADI 3 SASA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO
Serikali imesema sifa za mwanafunzi atakayeendelea na masomo ya kidato cha tano kwa mwaka huu niĀ waliopata daraja la kwanza hadi la tatu pointi 31.Aidha, katika kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi wa...
View ArticleWATANO WAFARIKI DUNIA KWA KUSOMBWA NA MAJI
Wakazi hasa wa eneo la Tabata Matumbi Jijini Dar es Salaam na wapiti njia wakiangalia katika daraja la mto Msimbazi baada ya kuzagaa harufu ambayo inahisiwa kuwa ya binaadamu anayedaiwa kukwama eneo...
View ArticleHATI YA MUUNGANO HII HAPA, SASA KUHIFADHIWA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Hatimaye baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka...
View ArticleSERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU BOMU LA ARUSHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema watu 12 wamejeruhiwa baada ya kulipuka kwa bomu katika Klabu ya Usiku ya Night Park jijini Arusha.Akitoa taarifa ya serikali Bunge Maalum la...
View Article