UVCCM YAPINGA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar si tiketi itakayoweza kumsaidia Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif...
View ArticleDC AMWAGA CHOZI KWENYE MKUTANO WA HADHARA
Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, juzi aliwashangaza wengi baada ya kuangusha machozi mbele ya wananchi waliofurika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mtunguru, Kata...
View ArticlePAPA FRANCIS ATIMUA ASKOFU KWA KUDHALILISHA WATOTO
Balozi wa zamani wa Vatican katika nchi ya Jamhuri ya Dominica, Monsinyori Jozef Wesolowski ametiwa hatiani na Mahakama ya Kanisa Katoliki kwenye tuhuma za kudhalilisha watoto.Kutokana na kutiwa...
View ArticleWAHASIBU, WAKAGUZI WA MADENI FEKI KUTIMULIWA KAZI
Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2014 umepita jana huku Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akitoa onyo kwa wahasibu watakaopeleka madai ya madeni yaliyochakachuliwa kuwa atawafukuza...
View ArticleMAHARI YAZUA BALAA, BABA WA MTOTO AZUIWA KUZIKA
Familia mbili mjini hapa zimejikuta zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha kupigana fimbo na ngumi makaburini katika ugomvi wa kugombea kuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na...
View ArticleCRDB YAHADHARISHA WATEJA KUWA MAKINI NA MITANDAO
Benki ya CRDB imewaonya wateja wake kuwa makini na baadhi ya mitandao inayoibuka na kulaghai kwa kuwataka wananchi, kutoa taarifa zao muhimu za kibenki, jambo ambalo linahatarisha usalama wa fedha zao...
View ArticleMOROGORO YAWEZESHA VIKUNDI VYA WANAOSHI NA HIV
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro,imetoa hundi yenye thamani ya Sh milioni 22 kwa vikundi vya Wajasiriamali vya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) viendeleze shughuli za uzalishaji mali...
View ArticleTIB YAWAKOPESHA TREKTA WAKULIMA BUNDA
Benki ya TIB imetoa mkopo wa trekta tatu zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 83, kwa wananchama watatu wa chama cha kuweka akiba na kukopa (Chiringe Saccos) kilichoko mjini Bunda ili waweze...
View ArticleUSAGAJI SEMBE NYEUSI WAFANYIWA MAJARIBIO
Sembe nyeusi itakayokuwa ikizalishwa katika kinu kikubwa cha kusaga na kuhifadhi nafaka cha mjini Iringa inatarajiwa kuingia sokoni wakati wowote kuanzia sasa baada ya jaribio la usagaji wake kufanyika...
View ArticleCOSTECH YAFADHILI MAKUNDI BUNIFU 26 YA UZALISHAJI
Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) imetoa zaidi ya Sh milioni 200 kusaidia kongano bunifu 26 zinazozalisha na kutengeneza bidhaa za aina mbalimbali hapa nchini kwa kipindi cha miaka...
View ArticleWAJAWAZITO 900 WAJIFUNGULIA KWA WAKUNGA WA JADI
Wajawazito wapatao 900 wamejifungilia kwa wakunga wa jadi wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa kwa kipindi kilichoanzia Januari hadi Mei mwaka huu.Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Dk Akilimali...
View ArticleZITTO KABWE ATAKA BUNGE KUDHIBITI WATENDAJI SERIKALINI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema Bunge lina kila sababu kupitia sheria yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kulinda hadhi yake kutoka kwa...
View ArticleMWILI WA NG'WANAKILALA KUZIKWA KESHO
Mwili wa nguli katika tasnia ya habari, Nkwabi Ng'wanakilala unatarajia kuwasili leo jioni kutokea hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza, na kuzikwa kesho shambani kwake Kibamba CCM, jijini Dar...
View ArticleBABA WA MAREHEMU ASUSA KUMZIKA MWANAWE
Baada ya vuta nikuvute iliyosababisha uhasama mkubwa baina ya familia mbili mjini hapa wakigombea kuuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, hatimaye familia ya baba mzazi wa...
View ArticleMADEREVA WA MABASI KANDA YA ZIWA WAGOMA
Abiria waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa...
View ArticleLAPF YAMWAGA MIKOPO KWA WANAOSOMA VYUO VIKUU
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (LAPF) umeanzisha huduma mpya ambayo itasaidia wananchama wake wenye mipango ya kupata elimu ya juu kuweza kujipatia mikopo kwa ajili ya kufanikisha adhama hiyo.Huduma hiyo...
View Article