Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAHIDI WA ALIYEKUWA BOSI WA TRA WAFUTWA KESI YA MRAMBA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYA SASA ROHO JUU BAADA YA MAGAIDI KUUA WATU 60

Hali ya usalama nchini Kenya ni tete kutokana na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika jana na juzi katika Mji wa Mpeketoni na kusababisha  vifo vya watu wapatao 60. Ikiachwa shambulizi la juzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAIBANA SERIKALI ITAFUTE VYANZO VIPYA VYA MAPATO

Wabunge wameendelea kuitaka Serikali kubuni vyanzo vipya vya mapato huku baadhi yao wakionesha wasiwasi kama Serikali itafanikiwa kukusanya Sh trilioni 19 kutokana na kukosa mbinu za upanuzi wa wigo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME WA FLORA MBASHA APANDISHWA KIZIMBANI KWA UBAKAJI

Mume wa Mwimbaji wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka  mawili ya ubakaji.Mshitakiwa huyo ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA WAWILI WA UJAMBAZI BENKI YA NMB WAUAWA

Watuhumiwa wawili wa ujambazi wameuawa jijini Dar es Dalaam na wananchi katika jaribio la kufanya tukio la uporaji katika eneo la benki ya NMB Wilaya ya Ilala.Watuhumiwa hao wanadaiwa kuwa walikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAORUHUSU NGOMA YA 'BUNYEROBUNYERO' KUKAMATWA

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa klabu za usiku zinazokiuka maadili kwa kuruhusu klabu zao kupiga ngoma ya ‘bunyerobunyero’.Ngoma hiyo iliibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEXICO GOALKEEPING HEROICS HOLDS HOSTS BRAZIL

Guillermo Ochoa was the star as hosts Brazilcould not break down Mexicoin an atypically-entertaining 0-0 Group A draw.The Mexican keeper brought back memories of Gordon Banks’ dramatic save from Pele...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LATE COMEBACK ENSURES BELGIUM START WITH WIN

Belgium survived an almighty scare by coming up from a goal down with 20 minutes remaining to beat Algeria 2-1 in Belo Horizonte.Algeria took a shock lead after Jan Vertonghen pulled back Sofiane...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO - JUNI 18

                 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUTCH DOWN BRAVE AUSSIES IN ANOTHER CLASSIC

Tim Cahill's wonderful strike gave Australiahope against Holland, but his side were eventually beaten in an end-to-end match that finished 3-2 to the Netherlands.With this result, Australia are almost...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiongozwa na Meneja wa Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro, wakichambua na kuhakiki fomu za wanachama waliowasilisha fomu za usajili kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Sheikh Adam Zubeir wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake eneo la Maghorofa ya Kikuyu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed akifungua warsha ya kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika Mpango wa Taifa wa Kunusuru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 12

Washindi wa Bahati Nasibu ya "Shinda Ki-Brazili na MwanaSpoti", Issa Rashid (wa pili kushoto) na Michael Msumba (wa pili kulia) wakipokea zawadi zao kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Multichoice (DSTv),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXIM BANK WATOA SHILINGI MILIONI 10 KWA TAASISI YA TPF

Benki ya Exim Tanzania imekabidhi hundi ya Sh milioni 10 kwa Taasisi ya Tushikamane Pamoja (TPF) ikiwa na lengo la kusaidia wazee wasiojiweza wanaoishi katika kaya zaidi ya 40 jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKILI KORTINI KWA KUMJERUHI MFANYAKAZI WAKE WA NDANI

Wakili wa kujitegemea, Yasinter Rwechungura (44) amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa mashitaka ya kujeruhi mfanyakazi wake wa ndani. Rwechungura ambaye amenyimwa dhamana kwa kile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA DALADALA UBUNGO CHAGEUZWA SOKO

Kituo cha daladala cha Ubungo kilichokuwa kikitumiwa na magari kutoka maeneo tofauti, sasa kimegeuka soko. Hatua hiyo imetokana na ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka ambao umesababisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RITA SASA YAANDIKISHA VYETI VYA KUZALIWA MASHULENI

Katika kuongeza idadi ya Watanzania wenye vyeti vya kuzaliwa, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeamua kuzungukia shule kuandikisha wanafunzi wasiokuwa navyo. Kwa kuanzia, imeandikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGOFU YA KILWA YAREJESHEWA URITHI WA DUNIA

Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyokuwa yamewekwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini kutoweka, yamerudishiwa hadhi yake ya awali ya Urithi wa Dunia.Uamuzi wa kuyarudishia hadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAKIJIJI AUAWA KWA RISASI MGODI WA MWADUI

Mkazi wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala wilayani Kishapu mkoani hapa,  Juma  Masalu (25) ameuawa kwa kupigwa risasi akituhumiwa kuvamia Mgodi wa Almasi wa Mwadui kwa lengo la kuiba mchanga wenye...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live