MFANYAKAZI WA TIGO AIBUKA KIDEDEA DUNIANI
Mfanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo, Obedi Laiser ameibuka kidedea katika shindano la kumtafuta mfanyakazi bora lililoshirikisha wafanyakazi 21 kutoka nchi mbalimbali za Afrika na Marekani ya...
View ArticleWAASWA KUNUNUA VIFAA IMARA VYA BODABODA
Waendesha pikipiki, maarufu ‘Bodaboda’ wameshauriwa kununua vifaa sahihi kwa ajili ya vyombo hivyo ili kuepuka madhara yanayoweza kuwatokea pindi wakitoa huduma ya usafiri.Ushauri huo ulitolewa jana...
View ArticleWATOTO WENYE HOMA YA MANJANO WAANIKWA JUANI
Watoto wanaozaliwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma wakiwa na ugonjwa wa homa ya njano, inasadikiwa wamekuwa wakianikwa juani kutokana na ukosefu wa mashine maalumu ya kufanya kazi hiyo. Hata hivyo,...
View ArticleJAPAN YASAIDIA SHILINGI BILIONI 24.1 ZA BAJETI
Serikali ya Tanzania imepata mkopo wa Sh bilioni 24.1 kutoka Serikali ya Japan ikiwa ni sehemu ya kuisaidia bajeti yake.Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okanda...
View ArticleSERIKALI YASISITIZA KUFTWA HATI ZA MASHAMBA YA MKONGE
Serikali imesisitiza kufuta baadhi ya hati miliki za mashamba ya mkonge katika Mkoa wa Tanga na kugawia wananchi.Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, aliliambia Bunge jana kuwa...
View ArticleWANAOVAA VIBAYA MARUFUKU MAHAKAMANI KINONDONI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imeweka kibano kwa watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo kwa kuwazuia mlangoni. Miongoni mwa mavazi ambayo akivaa mtu anazuiwa...
View ArticleMADANGURO NA 'GESTI' VYAATHIRI WATOTO
Ukatili, udhalilishaji na ukiukaji wa haki za mtoto, ikiwemo tabia ya wazazi au walezi kuwatuma watoto vileo na kwenda nao kumbi za starehe vinadaiwa kukithiri hali ambayo serikali imeshauriwa...
View ArticleKAMPUNI YALIPA SHILINGI MILIONI 800 KUTAFITI GESI MTWARA
Moja ya kampuni nne zilizofikia makubaliano na Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) kutoa huduma mbalimbali kwa kampuni kubwa zinazofanya utafiti wa mafuta na gesi mkoani Mtwara, imetoa...
View ArticleSUMATRA SASA YAKUNJULIA MAKUCHA YAKE UDA
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesisitiza kwamba, mabasi ya Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) yanatakiwa kupaka rangi kulingana na njia na si kuweka vibao...
View ArticleMLIMA KILIMANJARO WAPOTEZA ASILIMIA 30 YA THELUJI YAKE
Mlima Kilimanjaro umepoteza takribani asilimia 30 ya theluji kuanzia mwaka 1912 mpaka sasa, Bunge limeelezwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Ummy Mwalimu, alisema kuyeyuka kwa...
View ArticleMGOMO WA WAHADHIRI UDOM WAACHA NJIAPANDA WANAFUNZI 2,000
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wamegoma kusimamia mitihani wakishinikiza malipo ya posho za usimamizi wanazodai tangu muhula wa masomo uliopita. Mgomo wa wanataaluma hao wa Shule ya Sayansi...
View ArticleONGEZEKO DENI LA TAIFA LAZUSHA TAFRANI BUNGENI DODOMA
Kamati ya Kudumu ya Bajeti imeonesha wasiwasi kuhusu ongezeko la haraka la deni la taifa na kusema hali hiyo inatishia ukuaji endelevu wa uchumi.Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Andrew Chenge aliliambia...
View ArticleMUELLER HAT-TRICK AS GERMANY SLAY PORTUGAL
Sami Khedira of Germany, Thomas Mueller and Mario Goetze celebrate scoring their team's third goalThomas Mueller claimed a hat-trick as Germanythrashed 10-man Portugal 4-0 in their Group G match in...
View ArticleDEMPSEY SCORES FIFTH FASTEST GOAL IN WORLD CUP HISTORY
1. Hakan Sukur (2002): 11 seconds29/06/2002 (Daegu, Daegu World Cup Stadium), third place play-offEleven seconds. That's all it took for a 40-year-old record to fall in the penultimate match of the...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA CHINA KUTEMBELEA TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini kuanzia Juni 21 hadi 26.Hayo yalisemwa jana na Balozi wa Tanzania nchini China, Abrahaman Shimbo wakati...
View ArticleMENEJA TANZANITE ONE AFUKUZWA NCHINI
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Tanzanite One, inayojishughulisha na uchimbaji, ununuzi na uuzaji wa madini ya Tanzanite nje ya nchi, amefukuzwa nchini. Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Arusha, Daniel Namomba...
View ArticleWATU 30 MBARONI KWA KUFANYA VURUGU MULEBA
Watu zaidi ya 30 wanashikiliwa na polisi wilayani Muleba katika Mkoa wa Kagera wakituhumiwa kufanya vurugu na uharibifu wa mali chanzo kikiwa kifo cha mfanyakazi wa ndani aliyefia mkoani Arusha....
View ArticleMATUMIZI YA GESI YA SAMADI YASAIDIA KUHIFADHI MAZINGIRA
Matumizi ya gesi ya samadi inayotumia kinyesi cha ng’ombe na binadamu (Biogas), yamesaidia kwa kasi kubwa kuhifadhi mazingira katika mikoa nchini inayoongoza kwa ukataji miti kwa ajili ya kuni na...
View ArticleSERIKALI YATAMBA KUWANASA WALIPUAJI MABOMU ZANZIBAR
Serikali imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.Wakati Naibu Waziri wa...
View ArticleKERO YA MAJI JIJINI DAR KUPUNGUA MWAKA UJAO
Maeneo yenye kero sugu ya maji jijini Dar es Salaam, yatapatiwa maji ifikapo Septemba mwakani, baada ya uwekaji wa bomba kubwa jipya kutoka mtambo wa Ruvu Juu kukamilika. Hayo yamesemwa na Meneja...
View Article