$ 0 0 Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiongozwa na Meneja wa Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro, wakichambua na kuhakiki fomu za wanachama waliowasilisha fomu za usajili kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya matibabu.