Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Article 14

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Sheikh Adam Zubeir wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake eneo la Maghorofa ya Kikuyu. Shehe huyo amekuwa akisumbuliwa na maradhi na hivi karibuni alipelekwa nchini India kwa matibabu.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Trending Articles