WATU 21 WAFARIKI, 10 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA HIACE RUFIJI...
Watu 21 wamekufa na 10 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace na lori.Ajali hiyo ilitokea juzi katika kijiji cha Mkupuka kata ya Kibiti wilayani Rufiji mkoani...
View ArticleWABUNGE SASA KUANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA, KANUNI ZAWEKWA KIPORO...
Wajumbe wa Bunge la Katiba.Bunge Maalumu la Katiba linaendelea na kikao chake na miongoni mwa shughuli zinazotarajiwa kufanywa kuanzia leo, ni kurekebisha baadhi ya kanuni za uendeshaji wake na kuanza...
View ArticleUCHAMBUZI MUUNDO WA MUUNGANO KUFANYIKA LEO NA KESHO...
Wajumbe wakifuatilia moja ya vikao vya Bunge la Katiba.Muundo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza kujadiliwa rasmi kupitia Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba ambazo zinajadili Sura ya Kwanza...
View ArticleWACHINA WA 'SAMAKI WA MAGUFULI' WAPANDISHWA TENA KORTINI...
Watuhumiwa hao wakiwa mahakamani.Raia wawili wa China walioachiwa huru wiki iliyopita katika kesi ya uvuvi haramu, wamepandishwa kizimbani tena wakikabiliwa na mashitaka ya kuvua samaki katika Ukanda...
View ArticleABIRIA WANUSURIKA VIFO KATIKA AJALI ZA MABASI YA SUMRY NA NGANGA...
Watu 29 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea katika barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam kwenye maeneo ya Mikese na Mkambalani, mkoani hapa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,...
View ArticleRUFAA YA MNYIKA YAPELEKWA KWENYE KAMATI YA KANUNI...
John Mnyika.Rufaa ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, anayepinga uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa Bunge Maalumu, imepelekwa kwa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge hilo....
View ArticleMTOTO ASABABISHA FUMANIZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA...
Wagonjwa wakisubiria huduma Hospitali ya Mwananyamala.Tafrani ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa...
View ArticleBABA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 65 JELA KWA KUMPA MIMBA BINTI YAKE...
Mkazi wa Mtaa wa Uhamila katika mji mdogo wa Rujewa, mkoani Mbeya, amehukumiwa miaka 65 jela kutokana na makosa matatu tofauti, yaliyotokana na kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa. Mahakama ya Wilaya ya...
View ArticleWAJUMBE WAPIGWA BUTWAA KUVUNJWA BUNGE MAALUMU LA KATIBA...
Lango Kuu la kuingilia katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.Ukimya mkubwa umetanda kwenye viwanja vya Bunge kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kushindwa kuamini wanachokisoma kwenye tangazo...
View ArticleWATU WANNE WAUAWA, 9 WALAZWA KWA MAPIGANO IGUNGA...
Mmoja wa majeruhi wa mapigano hayo akiwa amelazwa hospitalini.Watu wanne wamekufa na wengine tisa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya hiyo mkoani Tabora, kutokana na mapigano kati ya wakulima na...
View ArticleBUNGE LA AFRIKA MASHARIKI LAVURUGIKA...
Spika wa Bunge la Afrika Kashariki akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete na Spika Anne Makinda.Bunge la Afrika Mashariki (EALA), limeahirishwa kwa muda usiojulikana baada ya kutawaliwa malumbano jana juu...
View ArticleVITENDO VYA UJANGILI VYAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50...
Mmoja wa tembo waliouawa na majangili. Vitendo vya ujangili vimepungua kwa asilimia 58 huku idadi ya meno ya tembo yanayokamatwa, ikiwa imeongezeka, kutokana na kukamatwa meno yaliyowindwa siku za...
View ArticleMKUU WA MKOA CHUPUCHUPU MTEGO WA SIKU YA WAJINGA...
Dk Rajab Rutengwe.Mkuu wa Mkoa wa Katavi , Dk Rajab Rutengwe ametoa ushuhuda wake jinsi alivyoponea chupuchupu, kuhadaiwa na mkazi mmoja mjini Mpanda jana asubuhi, ambayo ilikuwa Siku ya Wajinga...
View ArticleNHC YAWEKA SOKONI NYUMBA ZAKE 118 ZA MAKAZI...
David Shambwe.Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa mara nyingine jana limezindua mradi mpya wa mauzo ya nyumba za makazi ya familia 118 katika Mtaa wa Wakulima, Hananasif, wilayani Kinondoni.Nyumba...
View ArticleHATI ZA MUUNGANO ZAWA HOJA NAMBA MOJA BUNGENI...
Bunge Maalum la Katiba.Siku ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano,...
View ArticleTCU KUKAGUA UBORA WA HUDUMA VYUO VIKUU...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) itakagua huduma zitolewazo kwenye vyuo vikuu, kabla ya taasisi hizo kuamua kupitisha ada.Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, Profesa Magishi Mgasa...
View ArticleMAHAKAMA YAPIGA KALENDA KESI YA ZITTO KABWE...
Zitto Kabwe.Kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe dhidi ya chama hicho, imeahirishwa hadi Mei 29 mwaka huu, itakapotajwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...
View Article