MAGARI MITUMBA, MATAIRI CHAKAVU CHANZO CHA AJALI ZA BARABARANI 4,553...
Mafundi wakibadili moja ya magurudumu ya lori.Ununuzi wa magari nje ya nchi yaliyokaa muda mrefu kisha kuyatumia nchini, unadaiwa kuchangia ajali nyingi barabarani, kutokana na baadhi tairi kuisha...
View ArticleKAMATI ZA BUNGE MAALUMU LA KATIBA ZALALAMIKIA UFINYU WA MUDA...
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.Asilimia kubwa ya Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimedai muda uliotolewa kujadili sura mbili hautoshi, hivyo zinatarajia kuomba kuongezewa,...
View ArticleKIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUTAKA KUMUUA TRAFIKI...
Mkazi wa Kijitonyama, Cresence Nguzo (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua askari wa kikosi cha usalama barabarani.Nguzo...
View ArticleKESI DHIDI YA SHEKHE PONDA YAKWAMA...
Shekhe Ponda Issa Ponda akisindikizwa na askari mahakamani.Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda...
View ArticleWALIMU WAPEWA WIKI MOJA KUPELEKA TAARIFA ZAO...
Mmoja wa walimu akiwajibika darasani.Walimu wa shule za msingi katika Manispaa ya Ilala, wametakiwa wapeleke upya taarifa binafsi kwa ajili ya kuingizwa kwenye majadala yao, jambo lililozua maswali,...
View ArticleWABUNGE AFRIKA MASHARIKI WAMKALIA KOONI SPIKA WAO...
Dk Margareth Zziwa.Wabunge 33 wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), wamesema mchakato wa kumng'oa madarakani Spika wa Bunge hilo, Dk Margareth Zziwa uko pale pale.Wamesema watatoa taarifa kwa marais...
View ArticleBODABODA, BAJAJI MARUFUKU KUBEBA MTOTO WA MIAKA TISA...
Mtindo huu sasa ni marufuku kabisa.Kanuni mpya za uendeshaji usafiri wa pikipiki na bajaj maarufu bodaboda, zimeainishwa zikisisitiza waendeshaji wa vyombo hivyo, kutekeleza masharti, ikiwemo...
View ArticleIKULU YAANIKA POSHO ALIZOLIPWA JAJI WARIOBA NA WENZAKE...
Jaji Joseph Warioba (wa pili kutoka kulia).Tume ya Mabadiliko ya Katiba haikufukuzwa kazi, isipokuwa siku ya ukomo iliwekwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.Ikulu imesisitiza kuwa haikuwa...
View ArticleSUPERMARKET 39 ZAFUNGIWA KWA KUUZA BIDHAA HATARISHI...
Relentless, moja ya bidhaa zilizopigwa marufuku.Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefungia maduka makubwa 39, yakidaiwa kuuza vyakula hatarishi kwa afya na uhai wa binadamu.Mkurugenzi Mkuu wa TFDA,...
View ArticleKURA THELUTHI MBILI ZAKWAMISHA UAMUZI KAMATI ZA BUNGE...
Wajumbe wa Bunge la Katiba ambao baadhi yao wanaunda kamati mbalimbali.Hatua ya kufanya uamuzi wa kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba mpya katika ngazi ya kamati za Bunge, ilifikiwa jana huku...
View ArticleUGONJWA WA HATARI WAUA WATU 10 DAR, WENGINE 70 WAUGUA...
Mbu anayeaminika kueneza homa ya dengue.Ugonjwa wa homa ya dengue ulioibuka jijini Dar es Salaam kuanzia mwishoni mwa Januari, mwaka huu umeathiri watu 10 na mmoja amefariki dunia. Mganga Mkuu wa...
View ArticleNYONGEZA YA MSHAHARA WA WABUNGE YAZUSHA BALAA...
Wabunge wa Bunge la Uganda juzi wamezua tafrani baada ya kuibua hoja ya kutaka waongezewe mishahara, ambapo tayari mshahara yao ni mara 60 ya mshahara wa mfanyakazi wa umma.Ombi hilo limekuja wakati...
View ArticleMKUU WA MKOA AMTOLEA NJE MNYIKA KUHUSU BODABODA...
Said Meck Sadik.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amesema hawezi kusitisha agizo lake la pikipiki na bajaj kuingia katikati ya jiji, kwani hana mamlaka hayo, kwani anasimamia...
View ArticleTAASISI YA KITAPELI YA MIKOPO YALIZA WATU 10...
Watu zaidi ya 10 wametapeliwa fedha, walizotuma kwa mtandao baada ya kurubuniwa kuwa wangepata mikopo katika taasisi, iliyojitambulisha kwa jina la Savings Foundation Loans na kudai ofisi zake ziko...
View ArticleMKAZI WA MOSHI ABAMBWA AKIFANYA MAPENZI NA MBWA...
Mbwa.Katika hali ambayo ni ya kushangaza, mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz,...
View Article