ANGELLA KAIRUKI ANG'ARA KIMATAIFA KWA VIJANA...
Angella Kairuki.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angella Kairuki ameteuliwa kuwa miongoni mwa Kundi la Viongozi Vijana Duniani kwa mwaka huu. Kairuki aliteuliwa pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti...
View ArticleMAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA SHEKHE PONDA...
Shekhe Ponda Issa Ponda.Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa...
View ArticleMALALAMIKO YA TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUWEKWA HADHARANI...
Jaji Joseph Warioba.Mweyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja malalamiko 10 ya kila upande wa Muungano, ambayo yanatishia kuvunja Muungano wa Tanganyika na...
View ArticleMCHINA ALIYEKAMATWA NA MENO YA TEMBO 81 JELA MIAKA 20...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wa China, Yu Bo baada ya kupatikana na hati ya kukutwa na pembe za ndovu, zenye thamani ya Sh milioni 978.Hakimu Mkazi Devotha...
View ArticleJAJI WARIOBA AWACHANGANYA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA...
Jaji Joseph Warioba.Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamekiri kuchanganywa kutokana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ambayo walidai imeibua...
View ArticleHOTUBA YA RAIS KIKWETE YASUBIRIWA KWA HAMU DODOMA...
Rais Jakaya Kikwete.Uongozi wa juu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kesho utahamia katika Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, kushuhudia hotuba ya...
View ArticleBODABODA WATAKAOINGIA KATIKATI YA JIJI KUNYANG'ANYWA LESENI...
Waendesha bodaboda na 'bajaji'ambao watakiuka agizo la kutoingia katika Eneo la Katikati ya Jiji (CBD), watanyang'anywa leseni zao za biashara, kwa kukiuka sheria.Hayo yameelezwa na Kamishna wa Kanda...
View ArticleSITTA KUWASHUGHULIKIA WAPINGA MUUNGANO WOTE KISHERIA, KIKANUNI...
Samuel Sitta (kulia) akiwa kazini bungeni.Mwenyekiti wa Bunge Maalumu, Samuel Sitta, amesisitiza msimamo wake wa kuwashughulikia wajumbe wa Bunge hilo wenye nia ya kuvunja Muungano uliodumu kwa miaka...
View ArticleWALIMU WAPYA KUISHI KIFALME KIGOMA, KUPELEKEWA VITOWEO MAJUMBANI...
Sehemu ya mji wa Kigoma.Katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya...
View ArticleMKUTANO KUJADILI UJANGILI KUFANYIKA DAR MWEZI UJAO...
Serikali imeendelea kuweka mikakati ya kupambana na ujangili nchini kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa.Imeandaa mkutano wa kuwezesha utekelezaji wa shughuli za kuzuia ujangili na kupiga...
View ArticleBABA MZAZI AUA MWANAWE KIKATILI KWA KIPIGO TUNDUMA...
Kamanda Msangi.Mtoto mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.Irene Mbembela ambaye alikuwa akisoma shule...
View ArticleRAIS KIKWETE KUNGURUMA BUNGE LA KATIBA LEO SAA 10 JIONI...
Rais Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuhutubia Bunge Maalumu la Katiba na hotuba yake kurushwa moja kwa moja na Televisheni ya Shirika la Utangazaji (TBC). Hotuba hiyo ya Rais, imekuwa ikisubiriwa kwa...
View ArticleKESI YA WALIOTOROSHA TWIGA YAAHIRISHWA...
Mahakama ya hakimu mkazi mjini Moshi jana imelazimika kuahirisha kesi ya utoroshwaji wa Twiga kwenda Uarabuni baada ya hakimu mkazi Simon Kobelo anayesikiliza kesi hiyo kukabiliwa na majukumu mengine...
View ArticleMUUNDO WA SERIKALI TATU WAMTISHA RAIS KIKWETE...
Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo alipolihutubia Bunge la Katiba jana.Rais Jakaya Kikwete amesema muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Marekebisho ya Katiba inayoongozwa na Jaji...
View ArticlePENDEKEZO LA WANANCHI KUWANG'OA WABUNGE LAPINGWA...
Rais Jakaya Kikwete wakati akizindua Bunge la Katiba jana.Rais Jakaya Kikwete amepinga pendekezo la rasimu ya Katiba ambalo linataka wananchi wawe na haki ya kuwaondoa wabunge wao kwa vile linaweza...
View Article